Hivi watu wa Afghanstan ni wazungu, waarabu au wahindi?

wale sio waarabu huwa wanaandika na kuongea urdu language (uliwahi kusikia watu wanaitwa waqurdi?..
 
, kiutaalam wanaitwa 'Magaidi' tu.

Na wewe unajiita nani? Hivi wale wa Afghanistan utawalinganisha na waafrika tulionao huku wanaokatiza maisha ya watu!! Ingawa co wote wabaya!! Mtu ananyofolewa uke/uume utasema mtu mwema huyo! Albino anauawa, mzazi anamtoa kafara mwanae kisa mali, mtu anapigwa kiberiti kisa ameiba hela ama bidhaa kiduchu utasema hao ni wema!! Unyama wa aina nyingi hufanyika, nikiorodhesha hapa utachoka kusoma 😁
 
Vipi kuhusu watu wa Uzbekistan na Kazakhstan?
Na wale wa Kyrgyzgistan? Mongolia je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…