Hivi watu wa Afghanstan ni wazungu, waarabu au wahindi?

Majority ni Pashtuns na wengine ni Hazaras

Pashtuns ni Sunni,hazara wengi ni Shia.

Taliban wengi ni Pashtuns ndio wanawaonea sana Shia ambao wengi ni Hazaras
 
Kwenu Afghanstan mnafanyaje watu kwa kutumia dini au Allah? Wacha kuwa zwazwa mtoto weweeee, kuna wanyama zaidi ya wale watu?
 
Great Thinkers my foot.šŸ˜±šŸ˜±šŸ˜±šŸ˜±šŸ˜±šŸ¤”šŸ¤”
 
Kwenu Afghanstan mnafanyaje watu kwa kutumia dini au Allah? Wacha kuwa zwazwa mtoto weweeee, kuna wanyama zaidi ya wale watu?

Na wabongo wanaotoa kafara na kuuwa maalbino, wakongwe, baba anauwa mzazi, mzazi anauwa mtoto, waliouawa na watu wacojulikana n.k unawazungumziaje hawa?

Kuhusu uislamu, suala la kuuwa lina mipaka yake, mtu anauwa watu waco na hatia hiyo ni nafsi yake na co uisilamu ulivyo amrisha.
 
Na ilikuaje wakafika hilo eneo karibu na marekani

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Afghanistan ipo karibu na Marekani?

Pole kwa wazazi wako waliotupa pesa ya ada kukupeleka shule kufuta ujinga kumbe ulikwenda kubeba ujinga.

Zamani Atlas tulikuwa tukiikariri tangu darasa la 4, watoto wa sasa sijui imekuwaje?
 
Ooh sorry mkuu, nimeona. Nilichanganya jina usijali tuko pamoja

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…