Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

Kakaa umenikumbusha huyo mwamba.. Sasa huyo awekwe kwenye upelelezi wa kumtafuta huyo Professor badala ya kile kidemu chenye ujauzito, si dakika 2 tu..

Michael mwenyewe kichwa kilikua kinamuuma kwa huyu jamaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mahone "aliniboa" season 2 alipomminia risasi yule dogo tozi mwizi mwenye kofia iandikwa "S" yaani stealer. Kumbuka ya Michael iliandikwa C yaani clever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money Heist naifananisha na blindspot. Ubunifu hafifu ila ujanja ujanja mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good analysis.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wadandiaji tu hawajui kitu wanafata mkumbo kusifia ujinga.

Mfano kama The Wire nauhakika ni asilimia chache sana ya watu wameiona hii show. Bonge moja la show.

Money Heist haifikii hata Breaking Bad
True. Show nzuri ni zile zenye kubeba uhalisia na siyo kujaza fictions kama single movie. Mfano Breaking bad na The wire. Mambo yanaenda kinyume kabisa na tulivyozoea. Uhalifu unashindaga mamlaka mara nyingi tu lakini wametumia situations za ukweli kabisa siyo zile ideal. Kwenye the wire kuna hadi characters ambao walikuwa na zile characters in real life kama mayor na wengineo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kwenye PB kuna character tatu zilikatizwa kibabe ila zilikuwa very emotional.

1. Yule dogo tozi mwizi. Aliuawa season 2 na Mahone.

2. Lincoln Jr a.k.a LJ Jr. Mtoto wa Lincoln.

3. Demu wa Benjamin Miles "C Note". Akikuwa "mkali" balaa ila alifanyiwa ukauzu kweli na askari wa Mahone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemsahau na yule mbabe wa T-bag ambaye alichomwa kisu na T-bag baadae akauzwa na T-bag akaenda kupigwa risasi na polisi.
 
Huyo jamaa ni mmoja ya character ninao wakubali mule,kumbuka ndo alienda kuua mke wa lincoln. Akaanza kumsaka na mtoto ili amuue.

Mwishoni akaja kuwa mtu mwema kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
..Kellerman. Jamaa alikuwa kauzu sana mwanzoni, kuua yeye haoni shida.

Baadae alivyokuja kubadilika, dah! Nikamkubali, japokuwa Sara muda wote alikuwa hamuamini mpaka anakufa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…