Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

Hiyo money heist haiingii hata kwa mzee mzima Raymond Reddington, huwez ilinganisha na PB.
Kuna raia hapa kashaiangalia PB mara saba na anasema haifuti.
Money heist wametumia nguvu nyingi sana kushughulika na jambo dogo. Ingekuwa plan ya Michael scofield, yeye angeondoka na mtambo wa kuchapisha hela siku hiyo hiyo na sio kuchapisha hela humo ndani siku zote zile na kuondoka nazo, wanazidiwa hata na shaur Khan kwenye don 2 aliyeondoka na plate za kuchapisha hela kule uswisi.
Michael scofield kuna wakati hajiandai, anaadapt to mazingira maisha yanaenda. Mfano sona, hakuingia na plan, plan iliianza akiwa humo ndani. Professor plan ikiyumba tu pressure inamuua anakimbilia punching bag.
Money heist professor tu ndo anaakili mingi anaburuza wenzake, prison break kotekote akili mingi, t bag, mahone, barric, kallerman, mpaka wale hit men wa general wote shughuli yao sio ndogo.
Wakina scofield wameenda kumng'oa mpaka rais,
Jaribu kumgusa rais uone moto wake , jack bauer kwenye 24 na homeland s7 wameonyesha vizuri, wanawazoa wote.
Sijaona bado shirika la ujasusi wakifanya ujasusi kumtafuta professor kama alivuotafutwa scofield.
Ni vile tu hii vita ni ya vijana wa leo, wakijaribu kukumbushwa kuwa hakuja jipya wanaloona, yalikuwepo mazuri zaidi.
PB kama PB msijaribu kuifananisha na vitu ya kijinga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You kill it bro!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very good analysis.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye MH pia wababe wapo,kuna zile njemba zilzokua zinafanya matukio ya kurescue nje ya benk nk

kumuokoa tokyo wakati wa safari

kumuokoa proff

kumuokoa Lisbon

nje kulikua na watu wa kazi kinoma noma....halafu majitu ya kazi ndani mule yalikua akili visoda,mfano lile bwege oslo liliulizwa kama lilifuta fingerprint kwenye gari linasema ndio,halafu linaulizwa fingerprint ni nini hata halijui ni nini...kumbe limekula hela.

MH wamecheza zaidi kwa kutumia saikolojia ya uhalifu,sheria n.k

money heist nayo ni kali sana tu,tatizo watu wengi wanajifanya wajuaji....eti aliangalia akafuta,ili naye aonekane ndio aliiieleeeeewwwaaa PB,kila kitu mkumbo,kama mbaya mbona mmeangalia hadi season ya mwisho,si mngeachia njiani



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaifananisha preson break na utopolo
 
..Kellerman. Jamaa alikuwa kauzu sana mwanzoni, kuua yeye haoni shida.

Baadae alivyokuja kubadilika, dah! Nikamkubali, japokuwa Sara muda wote alikuwa hamuamini mpaka anakufa.
View attachment 1447756

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanajua kuvaa uhusika mzee,huyu jamaa ni hatari.

Nilitamani baadae aje na yeye aingie gerezani tuone songombingo lake kama mjomba mahone akili kubwa.

Sasa eti hawa watu uwafananishe ni vitoto kina rio, dah...hawa jamaa wanadharau sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Scofield aliuelewa mziki wa A.Mahone maana kila alipokua akienda Scofield lazima Mahone aibuke hayo maeneo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…