Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Nyongeza,, kama una meno yametoboka nibora ukayatoa,, maana hutunza mabaki ya chakula na kuozea humor,, ukiyatoa na kijiti hua yanaharufu mbaya,, hats upigeje mswaki harufu hiyo hua haiiishi
 
Mara nyingi hawajui na hii nikwa sababu never zinaopeleka utambuzi wa harufu hiyo zimeshazoea ile harufu kwa maana ilianza mdo mdo.... so hata weapo dada jambazi unaeza kuta unanuka kamdomo hako..😁 Kwa sababu kama ilivyokuwia ngumu kumwambia huyo MTU ananuka mdomo na ndio wenzi wako nao wanaona tabu kukushtua🙂 yaani huo ni mfano...ila harufu ya uchafu wa kinywa kwa maana ya kutosafisha kinywa ama kutosafisha vizuri huwa sio kali, na inarekebishika kwa usafi tu na hata kutafuna tafuna bubble gum na tupipi flan tule😉,so ukiona ni kali na yakukera ujue anae changamoto ya kiafya, kama si meno kutoboka basi huwa inatokea TUMBONI KUPITIA PUANI NA MDOMONI... Sema nae🤣
 
Asante kwa kushiriki mkuu
 
Ilo ni tatizo kubwa sana kwa sasa, tena usiombe anaenuka huo mdomo ni mtu wako wa karibu kama mpenzi au mshikaji nguvu za kumwambia zinapotea so inabidi tu uvumilie
 
Inaweza ikawa tatizo la kiafya pia maana kuna wengine unakuta anazingatia usafi lakini bado kinywa kina harufu
Yawezekana, ni kama tatizo la kikwapa,baadhi hata waoge vipi hakiwatoki,akipita sehemu hata kama ujamuona, lkn utajua kabisa fulani alipita au kajificha mahala.,hata ivyo tuzingatie sana kusugua ulimi, katika mswaki waweza tumia hata sabuni ni nzuri sana tu.,mi imenisaidia.
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Kama ni mwenza anatakiwa kuelezwa kistaarabu ili afuate maelekezo.

Kama haelewi analazimishwa, kama hataki anakatiwa mawasiliano.

Huwezi kaa na uvundo ndani bhana.
Hayo maharufu ya ajabu ajabu siyo ya midomo tu, pia kwa maeneo mengi ya mwili yanatakiwa kusafishwa kwa makini ili yasilete kero kwa 'mshirika'.

Lakini nasikia matajiri wengi nd'owenyetatizo hilo, wanuke ama wasinuke warembo kwao hawachomoi, ni kama nyuki kuramba mkojo ama nzi kwa kinyesi, hawatoki.
 
Duuh! We kweli Lwiva basi itabidi usubiri sasa na serikali ije ukufanyie usafi. Sisi wa waafrika bana
 
Wee em sema kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…