Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.

Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?

Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
 
Kama wote vipato vinalingana.

Wale wanaoingiza 20M kwa mwezi hawezi paki gari yake kisa wewe unaepata 500k kwa mwezi huwezi afford mafuta.

Organize na grassroots wenzako ila sio nchi nzima.
Mimi hata wakauza mafuta 10k kwa lita siwezi kosa pesa ya kulipa, ninachosema ni kwamba, siwezi kufund vita ambayo hainihusu!!!!
 
Sisi wenye 500,000 kwa mwezi ndio wengi zaidi.
Mimi hata kama pesa ya kununua mafuta ninayo, bado napaki, tunalipia vita ya watu wengine kabisa, why??!!, enough is enough, kama nyie mnaona sawa endeleeni, mi basi, naacha kama nilivyoacha kunywa soda. Na sirudi nyuma, labda yarudi kuwa 2,500/=!!!!!
 
Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.

Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?

Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Irudishwe TIPA
 
😅 yaaan niende kazini kwa miguu
Niende kula bata kwa miguu
Niende kwa ndug jamaa na marafik wanapo nihitaji kwa miguu... Kwasabab tu ya uwezo wako mdogo wa kuhimili bei ya mafuta..? Uza hiyo Passo yako nunua baiskel usitutie umasikini
Sawa. Mimi nikichoka kutembea kwa miguu nitanunua baiskeli. Asante kwa wazo zuri.
 
Mimi hata wakauza mafuta 10k kwa lita siwezi kosa pesa ya kulipa, ninachosema ni kwamba, siwezi kufund vita ambayo hainihusu!!!!
Tanzania haijawahi nunua mafuta Russia.

Mafuta yote yanayokuja Tz yanatoka middle east.

Hii ni kupanda kwa bei ya mafuta duniani, hata ukiwa Australia bei utakayopigwa ni ileile. Labda upewe subsidy.

Hata huko US wananunua diesel kwa $5.321 kwa US gallon ambayo sawa na 3.7ltr.
 
Hizi ni bei za Diesel marekani.

Kwa Tz inakuja almost 3400 tsh / ltr.View attachment 2210537
20220503_231754.jpg
 
Tanzania haijawahi nunua mafuta Russia.

Mafuta yote yanayokuja Tz yanatoka middle east.

Hii ni kupanda kwa bei ya mafuta duniani, hata ukiwa Australia bei utakayopigwa ni ileile. Labda upewe subsidy.

Hata huko US wananunua diesel kwa $5.321 kwa US gallon ambayo sawa na 3.7ltr.
Wewe nae legeza ubongo, kulipia vita haimaanishi kununua mafuta Urusi, au hujui hii ni vita ya US na Urusi? Hujui wao ndio wanamiliki hizo kampuni za mafuta middle East?!
 
Back
Top Bottom