Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Mkuu inamaana hautambui uhasama uliopo kati ya jamii kubwa ya Warusi na Wanachama wa NATO waliopo katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania ?

Wamekuwa wakishambuliana kuhusu hii vita kwa kipindi kirefušŸ’
 
Wewe nae legeza ubongo, kulipia vita haimaanishi kununua mafuta Urusi, au hujui hii ni vita ya US na Urusi? Hujui wao ndio wanamiliki hizo kampuni za mafuta middle East?!
Na wewe achaga upumbavu. Bei ya mafuta inapanda na kushuka, leo ipo hapo miezi kadhaa ijayo itashuka mpaka 2200 tsh/ltr.

Wakati bei ya mafuta imefika 1500 tsh ulilalamika? Ulikuwa una fund nini? Vita?

Wakati pipa moja linauzwa $43 si hayo hayo makampuni yalifilisika? Mengine yakafa? Hao marekani na russia mbona hawakupandisha bei ili yasife?

Hayo makampuni yapo kwenye masoko ya hisa, hata wewe unaweza nunua umiliki wako huko.

Kampuni gani ya russia ipo middle east? Nitajie 1 na inafanya kazi kwenye nchi gani hasa?
 
Tutatembea kwa miguu. Kilomita 6 za kwenda kazini haziwezi kunishinda. Hii itatusaidia wengine kuanza kufanya mazoezi kwa lazima. Naamka alfajiri naanza kutembea mdogo mdogo ili nisifike kazini nanuka jasho.

Ujiandae na vibaka barabarani.
 
Na wewe achaga upumbavu. Bei ya mafuta inapanda na kushuka, leo ipo hapo miezi kadhaa ijayo itashuka mpaka 2200 tsh/ltr.

Wakati bei ya mafuta imefika 1500 tsh ulilalamika? Ulikuwa una fund nini? Vita?

Wakati pipa moja linauzwa $43 si hayo hayo makampuni yalifilisika? Mengine yakafa? Hao marekani na russia mbona hawakupandisha bei ili yasife?

Hayo makampuni yapo kwenye masoko ya hisa, hata wewe unaweza nunua umiliki wako huko.

Kampuni gani ya russia ipo middle east? Nitajie 1 na inafanya kazi kwenye nchi gani hasa?
Mafuta yamepanda bei sababu ya vita, acha porojo zisizo na mantiki, na kwa kununua hayo mafuta tunagharamia hiyo vita, which siwezi kufanya, mimi nishaamua, wewe andelea kununua, hukatazwi!
 
Fresh tu..mtapiga Hamza kanuni tutafanana buree kabisa
 
Hapana jamani hangaikeni tu na magari yenu. Huku kwenye madaladala msije kabisa mtasababisha wapanda madaladala tuwe wengi na usafiri uanze kuwa shida.
Mmmmh nawee unapanda dala dala? Wee sis usiseme hivyo.
 
Kama wote vipato vinalingana.

Wale wanaoingiza 20M kwa mwezi hawezi paki gari yake kisa wewe unaepata 500k kwa mwezi huwezi afford mafuta.

Organize na grassroots wenzako ila sio nchi nzima.
Umenena mkuu

Asubuhi tu nitakunywa

Lita 2250 Diesel
 
Tanzania haijawahi nunua mafuta Russia.

Mafuta yote yanayokuja Tz yanatoka middle east.

Hii ni kupanda kwa bei ya mafuta duniani, hata ukiwa Australia bei utakayopigwa ni ileile. Labda upewe subsidy.

Hata huko US wananunua diesel kwa $5.321 kwa US gallon ambayo sawa na 3.7ltr.
Ukiangalia hapo raia wa USA wananua 1lita kwa 3,359 na kwa sisi huku wa juu kabisa ananua 1lita kwa 3,375. Lakini wastani wa pato LA MTU mmoja wa USA ni 11M kwa mwezi na Tanzania ni laki 5.
 
[emoji28] yaaan niende kazini kwa miguu
Niende kula bata kwa miguu
Niende kwa ndug jamaa na marafik wanapo nihitaji kwa miguu... Kwasabab tu ya uwezo wako mdogo wa kuhimili bei ya mafuta..? Uza hiyo Passo yako nunua baiskel usitutie umasikini
Sijui umeanza lini kumiliki gari, sijui kabla ya kumiliki gari, hizo sehemu ulizotaja ulikua unaenda kwa miguu? au ulikua huende sababu hajanunua gari.

Kwa mtu wa Dar, anapofikilia kupaki gari, anatumia usafiri mbadala, treni ya magufuli, daladala, bodaboda, bajaji na hata tax, na baadhi ya huduma hizi zipo mpaka mikoani.
 
Inabidi tuwe na magari mengi ya umeme. Tesla ni ya umeme, kuna canter ya umeme, malori ya umeme tayari volvo ya umeme ipo, mabasi ya umeme yaje tayari uganda wanatengeneza kiira motors. Kiufupi magari ya umeme ndio suluhisho
 
Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.

Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?

Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Nilibadirisha Chuma hapo kati nikavuta kitu cha diesel maana ilikua bei chini ya Petrol, ila sasa dizo inasoma 3.4 sio poa mjanja
 
Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.

Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?

Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Hawawezi kukuelewa mana wengi ni wale wenye vipato vya ujanja ujanja. Yaani akiingia ofisini kamba yake ni ndefu anakata TU noti 1000 za sh.10000 halafu anajilipa mil. 500 fasta. ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Baskeli zipo na hazina foleni .
Pia Kipanya amegundua gari la umeme.
Mafuta hatununui Urusi lakini wanatuambia vita imepandisha Bei.

Lakini pia DIT hawajapunguza gharama za kufunga mfumo wa gesi kwenye magari wakati ni Chuo kinachojiendesha Kwa Kodi za wananchi.
 
Back
Top Bottom