Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

Hivi wenye magari wote tukaamua Mei 4 tupaki magari, itakuwaje?

Tulipofikia ni pagumu, huenda mbadala wa gas utasaidia, shida kuwa na hiyo 1.8mil on the spot ili kufunga mfumo wa gas.
 
Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.

Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?

Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Hili ndiyo suluhisho sasa ,nmekunikilisema sana humu!

Wenye vyombo vya moto wakichukua uamuzi huu,wahusika wenyewe watanyooka....trust me

Ila watu wakiishia kulalamika alafu wanaendelea kuweka mafuta basi
Watazidi kuchezewa

Ova
 
Ninachojua kwa Tanzania kitu kikipanda bei hakiwezi kushuka hata kama soko la dunia wameshusha bei .
Kipindi cha corona mafuta yalishuka bei kwa muda miezi 4 Ila hatukusikia nauli nazo zitashuka..,hii yote kwa sababu viongozi wengi wa kiserikali wamewekeza katika biashara ya mafuta.
Hii serikali ya makenge sheenz
 
Ukiangalia hapo raia wa USA wananua 1lita kwa 3,359 na kwa sisi huku wa juu kabisa ananua 1lita kwa 3,375. Lakini wastani wa pato LA MTU mmoja wa USA ni 11M kwa mwezi na Tanzania ni laki 5.
Kwahiyo bei ishushwe kisa una pato dogo?

It's either ununue au uache.

Magari mapya yanauzwa mpaka $100k. Hapo unataka uuziwe kwa $20k kisa una pato dogo?

Mafuta yanapanda bei dunia nzima na yanashuka dunia nzima.

Pipa moja likiwa $100 ni dunia nzima. Bei itawaathiri wote.

Mkitaka bei ishuke, serikali itoe tozo zote kwenye mafuta.

Wenzako wanapewa credits huko Marekani.

20220504_070131.jpg
 
Jumlisha hizo tozo zote ndo ujue bei halisi ya mafuta ipoje.
JamiiForums1984382265.jpg
 
Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.

Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?

Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Halafu unaishi Kongowe na unafanya kazi Posta Dar, utatembea kwa miguu? Maana kama wote watapaki maana yake na daladala hazipo
 
Mafuta yamepanda bei sababu ya vita, acha porojo zisizo na mantiki, na kwa kununua hayo mafuta tunagharamia hiyo vita, which siwezi kufanya, mimi nishaamua, wewe andelea kununua, hukatazwi!
Kama vipi Anza kabisa kuishi Kama Mhadzabe maana kila unachotumia kutoka huko nje kuanzia simu, nguo, Ni Biashara za Wazungu.

Fanya hivi ili usi-fund vita
 
Kama vipi Anza kabisa kuishi Kama Mhadzabe maana kila unachotumia kutoka huko nje kuanzia simu, nguo, Ni Biashara za Wazungu.

Fanya hivi ili usi-fund vita
Mafuta ni major contributer, wacha nipaki tu, potelea mbali, ujinga huu!!
 
Mutatusababishia msongamano katika Dalala,musifanye hivyo Mkuu
 
Ukiangalia hapo raia wa USA wananua 1lita kwa 3,359 na kwa sisi huku wa juu kabisa ananua 1lita kwa 3,375. Lakini wastani wa pato LA MTU mmoja wa USA ni 11M kwa mwezi na Tanzania ni laki 5.

Na kwenye hiyo 3,375 tunayouziwa bongo kuna msururu wa kodi ambao Jumla yake ni kama shilingi Mia saba. Bongo serikali ishatujua hatuna akili ndio maana huwa inakuja na sababu za kijinga kama hizo.
 
Hili ndiyo suluhisho sasa ,nmekunikilisema sana humu!

Wenye vyombo vya moto wakichukua uamuzi huu,wahusika wenyewe watanyooka....trust me

Ila watu wakiishia kulalamika alafu wanaendelea kuweka mafuta basi
Watazidi kuchezewa

Ova

Kenya waliwahi kutumia hii mbinu na walifanikiwa. Kitu kikipanda bila sababu za msingi hawanunui.
 
Back
Top Bottom