Mkuu inamaana hautambui uhasama uliopo kati ya jamii kubwa ya Warusi na Wanachama wa NATO waliopo katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania ?Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Wanamuona kama puppet flani hivi asiye na sauti, hawamuogopi kabisa, wanajiamulia tu. Mi nishaamua, napaki gari, kwani kitu gani bhanaa...!!!Samia wanamdharau sana
Na wewe achaga upumbavu. Bei ya mafuta inapanda na kushuka, leo ipo hapo miezi kadhaa ijayo itashuka mpaka 2200 tsh/ltr.Wewe nae legeza ubongo, kulipia vita haimaanishi kununua mafuta Urusi, au hujui hii ni vita ya US na Urusi? Hujui wao ndio wanamiliki hizo kampuni za mafuta middle East?!
Tutatembea kwa miguu. Kilomita 6 za kwenda kazini haziwezi kunishinda. Hii itatusaidia wengine kuanza kufanya mazoezi kwa lazima. Naamka alfajiri naanza kutembea mdogo mdogo ili nisifike kazini nanuka jasho.
Mafuta yamepanda bei sababu ya vita, acha porojo zisizo na mantiki, na kwa kununua hayo mafuta tunagharamia hiyo vita, which siwezi kufanya, mimi nishaamua, wewe andelea kununua, hukatazwi!Na wewe achaga upumbavu. Bei ya mafuta inapanda na kushuka, leo ipo hapo miezi kadhaa ijayo itashuka mpaka 2200 tsh/ltr.
Wakati bei ya mafuta imefika 1500 tsh ulilalamika? Ulikuwa una fund nini? Vita?
Wakati pipa moja linauzwa $43 si hayo hayo makampuni yalifilisika? Mengine yakafa? Hao marekani na russia mbona hawakupandisha bei ili yasife?
Hayo makampuni yapo kwenye masoko ya hisa, hata wewe unaweza nunua umiliki wako huko.
Kampuni gani ya russia ipo middle east? Nitajie 1 na inafanya kazi kwenye nchi gani hasa?
Ni vita, siwezi kugharamia vita isiyonihusu, nyie endeleeni, mimi inatoshaKwani ukigoma unaemkomoa Nani?
Kwani Chanzo Cha Bei kupanda hamkijui?
Mmmmh nawee unapanda dala dala? Wee sis usiseme hivyo.Hapana jamani hangaikeni tu na magari yenu. Huku kwenye madaladala msije kabisa mtasababisha wapanda madaladala tuwe wengi na usafiri uanze kuwa shida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujiandae na vibaka barabarani.
Umenena mkuuKama wote vipato vinalingana.
Wale wanaoingiza 20M kwa mwezi hawezi paki gari yake kisa wewe unaepata 500k kwa mwezi huwezi afford mafuta.
Organize na grassroots wenzako ila sio nchi nzima.
Ukiangalia hapo raia wa USA wananua 1lita kwa 3,359 na kwa sisi huku wa juu kabisa ananua 1lita kwa 3,375. Lakini wastani wa pato LA MTU mmoja wa USA ni 11M kwa mwezi na Tanzania ni laki 5.Tanzania haijawahi nunua mafuta Russia.
Mafuta yote yanayokuja Tz yanatoka middle east.
Hii ni kupanda kwa bei ya mafuta duniani, hata ukiwa Australia bei utakayopigwa ni ileile. Labda upewe subsidy.
Hata huko US wananunua diesel kwa $5.321 kwa US gallon ambayo sawa na 3.7ltr.
Sijui umeanza lini kumiliki gari, sijui kabla ya kumiliki gari, hizo sehemu ulizotaja ulikua unaenda kwa miguu? au ulikua huende sababu hajanunua gari.[emoji28] yaaan niende kazini kwa miguu
Niende kula bata kwa miguu
Niende kwa ndug jamaa na marafik wanapo nihitaji kwa miguu... Kwasabab tu ya uwezo wako mdogo wa kuhimili bei ya mafuta..? Uza hiyo Passo yako nunua baiskel usitutie umasikini
Nilibadirisha Chuma hapo kati nikavuta kitu cha diesel maana ilikua bei chini ya Petrol, ila sasa dizo inasoma 3.4 sio poa mjanjaNimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.
Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?
EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...www.jamiiforums.com
Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!
Paki tu, kwani kitu gani bhanaa...Nilibadirisha Chuma hapo kati nikavuta kitu cha diesel maana ilikua bei chini ya Petrol, ila sasa dizo inasoma 3.4 sio poa mjanja
Hawawezi kukuelewa mana wengi ni wale wenye vipato vya ujanja ujanja. Yaani akiingia ofisini kamba yake ni ndefu anakata TU noti 1000 za sh.10000 halafu anajilipa mil. 500 fasta. ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeshtuka sana kusikia eti kesho mafuta yanapanda tena bei hadi kufikia 3,400/= kwa lita kwa baadhi ya mikoa.
Hivi itakuwaje kama wenye magari wote watasusa na kupaki magari kesho. Au tuamue hapa hapa?
EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi
Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...www.jamiiforums.com
Wanatubeep, ...., mi nawapigia, nishaamua, napaki, kwani nini bhanaa, napakiii.., siwezi kuendelea ku-fund vita ambayo hainihusu..., Tanzanians should stop funding this WAR!!!, its not our WAR!!