Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Gharama ya kupoteza muda wengi huwa hawaifikiriiUkiona mafuta ni bei paki huo mkweche wako tembea pekeako kwa miguu. Guys bei ya mafuta ni affordable. Ukiona ni gharama basi ujue umeshindwa kujikwamua kutoka ktk umasikini.
Unakimbia kununua petrol kwa 3,100 unakimbilia kupanda public transport kwa siku unatumia zaidi ya 3,000 unapoteza na muda, hizo ni akili au matope
Uzuri huku nilipo hakuna vibaka!Ujiandae na vibaka barabarani.
Kwa Akili yangu ilipoishia, naona ni vile vile tu sababu wenye Vituo wakipandisha basi na wanaponunua wamepandishiwa..... ilikua Lita moja ananunua 1500 yeye akauza 1600 basi nafikiri akiwa anauza 1700 basi jua ananunua 1600 shilingi 100 yake ipo pale pale, kwa navyofikiria lakiniMwigulu Nchemba, Ndugai na wabunge wenzao wanamiliki vituo vya mafuta. Huu ndo muda wao wa kupata pesa !
Unatumia lita1 au sio?Ukiona mafuta ni bei paki huo mkweche wako tembea pekeako kwa miguu. Guys bei ya mafuta ni affordable. Ukiona ni gharama basi ujue umeshindwa kujikwamua kutoka ktk umasikini.
Unakimbia kununua petrol kwa 3,100 unakimbilia kupanda public transport kwa siku unatumia zaidi ya 3,000 unapoteza na muda, hizo ni akili au matope
Hii mbinu inasaidia sanaKenya waliwahi kutumia hii mbinu na walifanikiwa. Kitu kikipanda bila sababu za msingi hawanunui.
Daah, ndicho alichojifunza hicho, hajui pato la raia wa huko ni mara 40 ya raia wa huku?Eti kisa dada kaenda marekani kakuta bei ya mafuta ipo juu zaidi ya huku nae kaamua kuongeza tena