Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

Hilo chupi sasa
Carlos The Jackal naomba kama unampenda muacha chu..pi basi nikupatie chimbo la vifunika asali matata.
Alaf chup ameiacha unaipeleka wapii? Ujue ww gaidi sana....

Haya turudi kwenye mada...wewe ni legendary asee.... dahh sio kwa mipango hyo ya kuwatindua
Ila nikiona tu simu ya mwanaume ina password kila kona huwa najua nimeyavaa
 
Nakadori unataka kusemaje.. Hujawahi kupitia mbili tatu.. Ngoja tutafute kungwi akupekue.
 
Huu Uzi naona wadada wako front kusoma mbinu za kivita[emoji1]
Mku waache tu wasome.

Unajua ki anatomically, Kuna kitu tunaita Corpus Callosum , hi ni Bundle ya Nerve Fibers yaan nikama katyubu hivi kalikobeba ma nerves mengi sana karibia Milion 300.

Hii Corpus Callosum ni kama Daraja, tinaliita pia Neural Bridge Kazi yake ni kupitisha Mawasiliano ya Ubongo Upande wa Kushoto na kulia yaan left and right cerebral hemispheres !!.


Sasa Kwa Wanawake, hiii Daraja ni Pana alafu Refu , Kwa hiyo kufanya Wanawake wawe na uwezo mkubwa sana yaan informations zote za sensory , motor na cognitive , Kwa wanawake zinafanyika Kwa haraka sana.

Ndio MAANA Wanawake Huwa wanauwezo wa kujua hatua ya pili inayofuata na wenye kumbukumbu.

Sasa kilichotokea nn?.

Pamoja na kwamba wanahuo Uwezo, Sisi wanaume tulipewa Uwezo wa Kuwashinda !! 🤣🤣


Mwanamke unaweza kumwambia, aiseee Mimi Carlos Nina Wanawake wengi sanaaaaa na siwez kuwaacha,. Na mpaka ukanionyesha pichaaa zao ,akawaona.

Lakn huyohuyo mwanamke , ukimwambia, nmekuelewaa, naomba unipe Mzigo, naye atakupa tu bila hiyanaa !!.



Sio kwamba hawana akili, hapana, Wana akili sana na Uwezo mkubwa sana, ila Nature inawataka wawe hivo mbele ya Mwanaume.
 
Watu wana vipaji sana sema hawavitumii sehemu sahihi tupate maendeleo
Ndugu yangu mmoja aliwahi kuambiwa hivyo nilicheka sana..

Mwamba yule hata mwanamke awe vipi ata hangaika hadi ampate na amkule.. Alikuwa na msururu wa totozi.. Kimbembe hela hana.

Ndugu yake ndio akamwambia angekuwa na juhudi ya kusaka kazi na hela kama anavyopambania wanawake angekuwa mbali sana kiuchumi... Toka siku hiyo alikoma kusimamishia kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawah
Me nkochoka mahali huwa natema naanza upya. Mmoja mmoja ndo mpango
Alaah, kumbe unasubiri kuchoka.. Wengine wanajipanga mapema. Kwa hyo wakati umepata tawi jipya lile bovu bado linashikilia shati.. Unajikuta una headquarter na branches kama mbili tatu [emoji28]
 
Chupi ndo yenyewe maana Ina vutika, ana matakoo heavy yamejaaa makubwaa mnoooo .

Hilo chimbo lako likoje, usije kua ni chimbo Cha chupi za saizi ya X 🤣🤣.


Sasa kama ukikuta ni Password, utaniacha??? .

DeepPond
 
Carlos katuwakilisha vyema wanaume, ni zamu ya wanawake kutoa mbinu zenu za kivita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…