Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

Nasikia ni watamu alafu full ushirikiano kitandani, kila la kheri mkuu
 
Ngoja ya kuingie ndio utajua hujui,hakuna mwanamke utatongoza akakukubali,na akikukubali ujue hutadumu naye na ukidumu naye lazima yalete visa visa, unaweza ukawa unazaa watoto mazombie.Yatakubana kila kona,ulikuwa unakunywa hayataki unywe,kama ndio mpenzi wa kitimoto itabidi usahau,kama ulikuwa mtu wa Bwana asifiwe huko hayataki,yakishanogewa na wewe yataanza kudai uhai wako.Maisha ya kuchoka hovyo na hata kushindwa kufanya kazi itakuwa sehemu ya maisha yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…