Upweke ndo husababisha kukosa Amani. Kama huna mtoto na huna upweke hakuna tatizo. Changamoto ni umri umeenda, wanaokuzunguka wote Wana Familia zao, wewe ukirudi kwako upo pekeyako, ukiumwa hakuna wa kushtuka kuwa unaumwa, huna wa kufarahi nae akafurahi wala huna wa kuhuzunika nae akahuzunika. Hapa ndipo utakapokosa amani.Ukose Amani Kwa sababu Huna mtoto???? huo Ni utaahira!!
Mtu aliyeamua kwa hiari yake kutokuwa na mtoto kwanini akose amani?Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,
Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?
Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
Wanasemaga watoto hufurahisha mafalaπ€£π€£π€£ila.watuUkose Amani Kwa sababu Huna mtoto???? huo Ni utaahira!!
You can't deny the fact.Ukose Amani Kwa sababu Huna mtoto???? huo Ni utaahira!!
Nimekupata vyema shida sio mtoto exactly Tatizo Ni upweke!!Upweke ndo husababisha kukosa Amani. Kama huna mtoto na huna upweke hakuna tatizo. Changamoto ni umri umeenda, wanaokuzunguka wote Wana Familia zao, wewe ukirudi kwako upo pekeyako, ukiumwa hakuna wa kushtuka kuwa unaumwa, huna wa kufarahi nae akafurahi wala huna wa kuhuzunika nae akahuzunika. Hapa ndipo utakapokosa amani.
Kuna mambo ambayo ukiwa <35 huyaoni, Dunia ya ambao ni >40 ni tofauti kabisa na Dunia ya watu <35. Na sijajua ni kwanini ila ni ngumu mno kuelewa Habari za >40 ukiwa <35.Wanasemaga watoto hufurahisha mafalaπ€£π€£π€£ila.watu
Mbaga, We ni mtoto wa nani sasa? Au ni mama mlezi ?Mama yangu ana miaka 55 na hana mtoto hata mmoja na muda wote ana amani.
Alisema hajanizaa, afu niko pekee angu πMbaga, We ni mtoto wa nani sasa? Au ni mama mlezi ?
It's true... ata Mimi sielewiKuna mambo ambayo ukiwa <35 huyaoni, Dunia ya ambao ni >40 ni tofauti kabisa na Dunia ya watu <35. Na sijajua ni kwanini ila ni ngumu mno kuelewa Habari za >40 ukiwa <35.
πππ Nimelia sana!Alisema hajanizaa, afu niko pekee angu π
Kabisa ndugu. Upweke ni Hatari mno, unaweza ukazeeka Kabla hujazeeka au ukachangayikiwa.Nimekupata vyema shida sio mtoto exactly Tatizo Ni upweke!!
Inasikitisha sana mkuu ππππ Nimelia sana!
Maxence anatakiwa kujua kuwa mdogo wake kaanza bangi tena.