Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

Wanasemaga watoto hufurahisha mafala🤣🤣🤣ila.watu
Na ndio uhalisia hebu Angalia hata Sisi masikini mfano Mimi na mume wangu Ni masikini WA kutupwa tunazaa watoto 7,pakuwalaza tu shida achilia mbali kuwalisha,kuwavisha,kuwasomesha,halafu tunajipa moyo eti watoto wanaleta furaha kwenye familia yetu!🤔🤔🤔🤔
 
Hio mbinu wengi hutumia kusema watoto ni furaha
 
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,

Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?

Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
Amani ya MTU hailetwi na mtoto
 
Hawa wapo, hasa kwenye dini ya kikristo, wanasubiria mume bora, mume mwema kutoka kwa Mungu. Wanasubiri sana bila kukata tamaa na muujiza hutokea wakaolewa na kuzaa. Ila hukutana na changamoto ya kuogopwa kuolewa wakidhaniwa ni wagumba hawazai kumbe walijitunza tangu wakiwa wasichana hawajafanya mapenzi kiholela
 
Ni jambo linaumiza lakini mtu anapaswa kujifunza kama imeshindikana apate namna ya kukubaliana na hali. Wala sio utaahira kukosa amani katika hilo.
 
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,

Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?

Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
Maisha ni zaidi ya mtoto.

Kuna watu hawataki kuwa na mtoto hata mmoja.

Usifikiri kila mtu anaiona dunia kama wewe.
 
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,

Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?

Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
Wapo.
Mke wangu nimemwoa akiwa na miaka 36 na huwezi amini nimekuta hajaguswa.
Na ninavyoongea na wewe hapa ana mdogo wake (mwalimu wa nursery)hajaolewa na mika yake inakaribia 34 hana mwanaume na walapango wa kuolewa hana hadi namuulizaga dada yake huyu mfogo wako ni kuwa hataki au kakosa
 
Nakuja pm masta
 
Back
Top Bottom