Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

ukirudi kwako upo pekeyako, ukiumwa hakuna wa kushtuka kuwa unaumwa, huna wa kufarahi nae akafurahi wala huna wa kuhuzunika nae akahuzunika.
Wakufurahi na kuhuzunika naye yupo muda wote, halali wala hasinzii, naye ni mwenye enzi yote baba Mungu wa mbinguni. Hawa wengine ni vibwengo tu.

Wangapi wamekimbiwa na watoto/wenza wao baada ya kuumwa, kufilisika ama kupata majanga?

Wangapi wamejawa na watoto/wennza wao kwasabb ya mali, chuki na mifarakano?
 
Nakuja pm masta
Wala sikupi ushirikiano kam unatafuta mke omba mungu tafuta wapo.
Mi mke wangu nimedumu nae miaka 6 sijawahi vuliwa qupi hadi namwoa ndo nakuja ona maku yake naMungu ni mwema nimekuta kitu mang'anyu sikuamini maana niliseema pote la mbali baada ya kufun nae mika kama 3 simweliwi.
Huwezi amini nilihai mitandao yake yote lumfuatilia maana msimamo wake ulinitia shaka nikahisi labda kuna mshenzi pembeni anajimenyea lakini wapi
 
Mimi mwenyewe sitak kumvua chup hata tukachunguzana miaka mia5 sawa tuu
 
Wakufurahi na kuhuzunika naye yupo muda wote, halali wala hasinzii, naye ni mwenye enzi yote baba Mungu wa mbinguni. Hawa wengine ni vibwengo tu.

Wangapi wamekimbiwa na watoto/wenza wao baada ya kuumwa, kufilisika ama kupata majanga?

Wangapi wamejawa na watoto/wennza wao kwasabb ya mali, chuki na mifarakano?
Mkuu naona umemtaja MUNGU, na umemwita baba, Kwa imani yako, Agizo la kuzaliana linatoka kwa nani?

Mkuu, Kuwa na mwenza na watoto ni kama kukata tiketi ili usafiri, uhakika wa safari unakua nao ila uhakika kuwa utafika salama haupo. Kutokuwa na hakika kuwa utafika salama si kigezo kinachotosha kutokukata tiketi Ili usisafiri.
 
Kuna kipindi nilikuwa kama wewe, kuwaza inawezekana vipi mtu yupo 30+ asiwaze ndoa wala mtoto. Ila ukikuwa unakutana na mengi, na uzoefu wa watu tofauti, na ninkweli kuwa wapo wasiotaka kuolewa, kuzaa na hata kungonoka, imagine mwanamke hataki kabisa habari ya ngono and she's just 30, yaani mtu yupo kwenye umri wa kufurahia from head to toe ila waaala hana habari.

Hivyo, kila mtu ana njia yake ya maisha, usishangae sana unachopenda wewe wenzako hawana habari nacho.
 
Mmezidi kujifungia sehemu
moja na kuiona dunia katika mlengo mwembamba sana.

Sasa hivi kuna kampeni ya childfree, people are super proud.

Wanawake kwa wanaume, Swali langu huwa najiuliza wanaume huwa wanajuaje hawana watoto kama hawajafanya vasectomy?
 
Yes sir, ulaya, wajapan, korea, marekani

Kwa africa ni Kenya na SA ndio inatrend sana.

Hahaha. Naona kama hii trend hii ipo zaidi kwa wanawake though. Jina lao lingine ni "childless cat ladies". Unakuta ana paka mbwa ila watoto hataki. Kuna moja nilimuulizaga a hypothetical question nikasema kwanini mtu unaweza kuhudumia cats/dogs kwa garama kubwa lakini unaona kulea mtoto binadamu kiumbe chako ni kero. Akanijibu akasema my dogs don't talk back to me the way my son does. Nikamwelewa maana mtoto wake her only child alikua anajibizana na mama yake kauli mbovumbovu kweli kweli. And she was a single parent.
 
Hii dunia yafaa nini bila mume au mke?

Hii dunia yafaa nini bila kuwa na uzao wako, ufurahie nao, ucheke na kulia nao!

BTW, hakuna anayefika 35yrs bila mtoto au watoto by choice, unakuta ni situations za maisha ndizo zinachangia.

Ila siku hizi watu wanaleta visingizio mpaka vile visivyo na maana kwenye jambo hili.
 
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,

Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?

Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
Inakuhusu nini wewe kichwa pumbu...
Hata ajira ya kueleweka huna, unaongelea kutotolesha,
Unadhani kila mdada ni wa vijijini....
Na kama huelewi, kuna hao kuanzia 35 kwenda juu walijitoa kwenye elimu na maarifa,
Na bongo kwa sasa kuna wanawake CEO wakubwa wa idara za serikali au mashirika ya kimataifa, na wana uwezo wa kufanya IVF na kupata mtoto...
Wewe komaa na puchu...
 
Hahaha. Naona kama hii trend hii ipo zaidi kwa wanawake though. Jina lao lingine ni "childless cat ladies". Unakuta ana paka mbwa ila watoto hataki. Kuna moja nilimuulizaga a hypothetical question nikasema kwanini mtu unaweza kuhudumia cats/dogs kwa garama kubwa lakini unaona kulea mtoto binadamu kiumbe chako ni kero. Akanijibu akasema my dogs don't talk back to me the way my son does. Nikamwelewa maana mtoto wake her only child alikua anajibizana na mama yake kauli mbovumbovu kweli kweli. And she was a single parent.
Sometimes their reasons are valid.

Ukiachana na mambo ya kidini.. Zaeni mkaijaze nchi.
 
Back
Top Bottom