Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
- Thread starter
- #61
Nataka niende mahakamani Nikawakatae wazazi wangu wote wawiliInakuhusu nini wewe kichwa pumbu...
Hata ajira ya kueleweka huna, unaongelea kutotolesha,
Unadhani kila mdada ni wa vijijini....
Na kama huelewi, kuna hao kuanzia 35 kwenda juu walijitoa kwenye elimu na maarifa,
Na bongo kwa sasa kuna wanawake CEO wakubwa wa idara za serikali au mashirika ya kimataifa, na wana uwezo wa kufanya IVF na kupata mtoto...
Wewe komaa na puchu...