Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

Wanasemaga watoto hufurahisha mafala🀣🀣🀣ila.watu
Na ndio uhalisia hebu Angalia hata Sisi masikini mfano Mimi na mume wangu Ni masikini WA kutupwa tunazaa watoto 7,pakuwalaza tu shida achilia mbali kuwalisha,kuwavisha,kuwasomesha,halafu tunajipa moyo eti watoto wanaleta furaha kwenye familia yetu!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Hio mbinu wengi hutumia kusema watoto ni furaha
 
Amani ya MTU hailetwi na mtoto
 
Hawa wapo, hasa kwenye dini ya kikristo, wanasubiria mume bora, mume mwema kutoka kwa Mungu. Wanasubiri sana bila kukata tamaa na muujiza hutokea wakaolewa na kuzaa. Ila hukutana na changamoto ya kuogopwa kuolewa wakidhaniwa ni wagumba hawazai kumbe walijitunza tangu wakiwa wasichana hawajafanya mapenzi kiholela
 
Ni jambo linaumiza lakini mtu anapaswa kujifunza kama imeshindikana apate namna ya kukubaliana na hali. Wala sio utaahira kukosa amani katika hilo.
 
Maisha ni zaidi ya mtoto.

Kuna watu hawataki kuwa na mtoto hata mmoja.

Usifikiri kila mtu anaiona dunia kama wewe.
 
Wapo.
Mke wangu nimemwoa akiwa na miaka 36 na huwezi amini nimekuta hajaguswa.
Na ninavyoongea na wewe hapa ana mdogo wake (mwalimu wa nursery)hajaolewa na mika yake inakaribia 34 hana mwanaume na walapango wa kuolewa hana hadi namuulizaga dada yake huyu mfogo wako ni kuwa hataki au kakosa
 
Nakuja pm masta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…