Wakufurahi na kuhuzunika naye yupo muda wote, halali wala hasinzii, naye ni mwenye enzi yote baba Mungu wa mbinguni. Hawa wengine ni vibwengo tu.ukirudi kwako upo pekeyako, ukiumwa hakuna wa kushtuka kuwa unaumwa, huna wa kufarahi nae akafurahi wala huna wa kuhuzunika nae akahuzunika.
Wala sikupi ushirikiano kam unatafuta mke omba mungu tafuta wapo.Nakuja pm masta
Mimi mwenyewe sitak kumvua chup hata tukachunguzana miaka mia5 sawa tuuWala sikupi ushirikiano kam unatafuta mke omba mungu tafuta wapo.
Mi mke wangu nimedumu nae miaka 6 sijawahi vuliwa qupi hadi namwoa ndo nakuja ona maku yake naMungu ni mwema nimekuta kitu mang'anyu sikuamini maana niliseema pote la mbali baada ya kufun nae mika kama 3 simweliwi.
Huwezi amini nilihai mitandao yake yote lumfuatilia maana msimamo wake ulinitia shaka nikahisi labda kuna mshenzi pembeni anajimenyea lakini wapi
Mkuu naona umemtaja MUNGU, na umemwita baba, Kwa imani yako, Agizo la kuzaliana linatoka kwa nani?Wakufurahi na kuhuzunika naye yupo muda wote, halali wala hasinzii, naye ni mwenye enzi yote baba Mungu wa mbinguni. Hawa wengine ni vibwengo tu.
Wangapi wamekimbiwa na watoto/wenza wao baada ya kuumwa, kufilisika ama kupata majanga?
Wangapi wamejawa na watoto/wennza wao kwasabb ya mali, chuki na mifarakano?
Dunia inaenda mbio sana, kampeni ya child free??Mmezidi kujifungia sehemu
moja na kuiona dunia katika mlengo mwembamba sana.
Sasa hivi kuna kampeni ya childfree, people are super proud.
Wanawake kwa wanaume, Swali langu huwa najiuliza wanaume huwa wanajuaje hawana watoto kama hawajafanya vasectomy?
Yes sir, ulaya, wajapan, korea, marekaniDunia inaenda mbio sana, kampeni ya child free??
Yes sir, ulaya, wajapan, korea, marekani
Kwa africa ni Kenya na SA ndio inatrend sana.
Expert member unakuwa na mawazo ya kipuuzi kama haya?Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,
Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?
Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
Inakuhusu nini wewe kichwa pumbu...Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,
Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?
Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?
Sometimes their reasons are valid.Hahaha. Naona kama hii trend hii ipo zaidi kwa wanawake though. Jina lao lingine ni "childless cat ladies". Unakuta ana paka mbwa ila watoto hataki. Kuna moja nilimuulizaga a hypothetical question nikasema kwanini mtu unaweza kuhudumia cats/dogs kwa garama kubwa lakini unaona kulea mtoto binadamu kiumbe chako ni kero. Akanijibu akasema my dogs don't talk back to me the way my son does. Nikamwelewa maana mtoto wake her only child alikua anajibizana na mama yake kauli mbovumbovu kweli kweli. And she was a single parent.
Mama yangu ana miaka 55 na hana mtoto hata mmoja na muda wote ana amani.
SielewWewe alikupataje??
Sielew