Hivi yupo Mwanamke ambaye ana amani miaka 35 bila Mtoto?

Nataka niende mahakamani Nikawakatae wazazi wangu wote wawili
 
Maisha yana tafsiri tofauti kwa kila mmoja, kila mmoja ana ishi aonavyo sawa.

Kumbuka 1+ 1 kwako ni 2, kwangu 1+ 1 ni 3 without condom or p2.
Kuwa na mtizamo tofauti ni sawa na nahunga mkono sana. ila pressure ya wazee waliotangulia najua Bado ipo sana kwa koo nyingi.

Mfano mzuri Wazee wengi hawana mpango wa kuandamana Tarehe 29 nguvu hizo hawana
 
Ukiangalia vitu kwa macho yako wewe (matamanio many a time utakuwa unapata wrong conclusions); Kuna watu hawataki hata watoto..... na hata wakiwa nao ni sababu ya shinikizo la jamii au la watu wenye fikra kama wewe wa kuwaona kama vile ni vilema...

 
Mume bora au mwenye hela? Hamna kitu kinacho wachelewesha mabinti wengi kama kutaka wanaume wenye hela/umaarufu.

Tamaa ya kupata mwanaume mwenye fedha inwachelewesha sana wanawake, ila wakija kushtuka na kujua nini maana ya maisha na ndoa hujikuta washachelewa, umri umeenda anakuwa kama gazeti la jioni, likilala huwekwa kwenye rundo na kupimwa kwa kilo kwa ajili ya kufungiwa vitafunwa.Kwa above 30,wengi wao ukizisikiliza story zao ,kuna sehemu wanakubali walipata wanaume bora,wacha Mungu na wenye mioyo ya huruma,ila tatizo moja hawana hela, hawajui kwamba hivi vitu hutafutwa.
 
Unaweza kuwa na watoto ukawafurahia ama kinyume chake, so far kwangu naona kuwa na machalii unyama aseeh......
 
Umeuziwa mbuzi kwenye gunia kizembe sana
 
Hivi mwenzetu umeenda shule? Unaishi ulimwengu gani wewe? Unajua kuwa kuna wanawake wengine hawawezi kushika mimba? Wapo tele duniani wanahangaika kwa madaktari na kutumia huduma ya IVF na nyenginezo bila mafanikio yeyote? Usifikiri kila mwanamke aso na mtoto hataki kuwa na mtoto. By the way kuwa na mtoto ndio kuashiria nini anyway? Whats the big deal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…