Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Tayari huko! Kaa karibu na redio
kuna nini?Tayari huko! Kaa karibu na redio
Tayari nani!!?kulikoni!!?kumetokea Nini kwani!!?funguka!Tayari huko! Kaa karibu na redio
Watu jauTayari nani!!?kulikoni!!?kumetokea Nini kwani!!?funguka!
Kimenuka...Watu jau
Wapi huko?Kimenuka...
Subiri upate updates... na mimi nasubiri kujua ni wapi hukoWapi huko?
Sio kosa lakoMakamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Kuna mtu anaitwa Hance Mtanashati ndo kasema labda afafanueWapi mkuu, na Kuna nini.?
Tulia acha wengeTayari nani!!?kulikoni!!?kumetokea Nini kwani!!?funguka!
Mnazika dar au mnasafirishaKumbuka ana nyumbu wake ashawashika akili wanamuamini hatari ...hahaha kanali wa instagramu
Ndio tutajua baada ya hayo masaa 24 aliyoyatoa, kama hakutatokea jambo lolote nitakubaliana nawe 100% na hiki ulichokosema.Kima tu yule hana jipya anatengeneza content ajipati3 umashuhuri nchini
Uzuri hamiliki acc yyt ss content ya nn ?Kima tu yule hana jipya anatengeneza content ajipati3 umashuhuri nchini
Masaa yashaisha mbonaNdio tutajua baada ya hayo masaa 24 aliyoyatoa, kama hakutatokea jambo lolote nitakubaliana nawe 100% na hiki ulichokosema.
Anatujaza au anamjaza mdogo wake tuNinachomkubali ni kwamba keshajua kuwa Mibongo mingi ni Mipimbavu (Mipopoma) na Mijinga (Mingumbaru), Kiasili hivyo nafurahi anavyowajaza na kuwabwaga.
Popoma ni wewe humu jf!Ninachomkubali ni kwamba keshajua kuwa Mibongo mingi ni Mipimbavu (Mipopoma) na Mijinga (Mingumbaru), Kiasili hivyo nafurahi anavyowajaza na kuwabwaga.
Porojo mkuuMuda wa maneno ( taarab) imekwisha
Sasa ni vitendo
Tarajia kuona mambo mageni ambayo hukuwahi kuyashuhudia