Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 14,241
- 40,752
Aisee jamaa alikuwa hataniiTayari huko! Kaa karibu na redio
Aisee jamaa alikuwa hataniiTayari huko! Kaa karibu na redio
Kwahiyo unataka uibe halafu uachiwe tu, nyambaaafMaccm mwsho wenu umefka mlijua mtalitawala taifa hli mpk kiama hamtainuka tena, mnaua watu ksa madaraka wkt mlishaiba weee mna mapesa ya watanganyika kama yote mnataka muendelee kutawala kwa damu kuna nn mnafcha
Mwenge dar JW wametanda saa kumi mbili asubuhi.Polepole kawaongezea bajetiEffects si umeziona, nasikia wa JWTZ wamezagaa huko Dar es Salaam si mchezo
Kwani alisema atafanya yake instantly zikiisha saa 24?Makamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Hakuna redio bongo mkuuTayari huko! Kaa karibu na redio
Mnahamisha magoli tenaKwani alisema atafanya yake instantly zikiisha saa 24?
Nani kaamisha magoli. Huyo polepole mkubwa mimi sijawahi kumsikiliza hata siku moja habari zake nazipata vipande vipande tu humu jf.Mnahamisha magoli tena
Aisee na wanejaa leoKwahiyo siku zote halikuzagaa ila baada ya polepole kuongea wanazagaa
Utawaweza watu wa humuWe kweli matakom.mlevi amesababisha wanajeshi wametapakaa kote Nchini..mama yenu nnya inagonga chupi nakurudi ndani
Jf huwa wabishi mpk mambo yatokee ndo mnarudi hapaYule jamaa tangu alivyosema Humphrey Polepole ana chip mwilini nilishajua hakuna kitu hapa.
Ni bluffing mwanzo mwisho.
Mida baada ya saa 24 kupita au kabla?Jf huwa wabishi mpk mambo yatokee ndo mnarudi hapa
Ht 29 mlibisha sn leo imebaki story
Anyway muda utaongea
Hamna kitu mkuu yule ni attention seeker kama sijakosea lugha ya watuMida baada ya saa 24 kupita au kabla?
Huyu si alisema Polepole ana chip? Chip imeishia wapi?
Exactly.Hamna kitu mkuu yule ni attention seeker kama sijakosea lugha ya watu
Hapo tupo kwenye ukurasa mmoja.Exactly.
Mtu umetekewa mdogo wako, chanves are kashaukiwa.
Halafu kila mara unajitokeza mitandaoni kujifaragua utafanya hiki na lile.
Fanya kweli basi watu waone isiwe kila siku maneno matupu tu.
Zile zilikuwa bluffing tu na mpaka sasa huyu kaka mtu ana bluff tu.Kama ana chip maanaye anaweza kuwa located mbona mpka sasa hatujui aliko?