Kwa nini umetoa avatar picha yako ya magufuli?Makamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Kwahiyo siku zote halikuzagaa ila baada ya polepole kuongea wanazagaaSi ndo Jeshi la Ulinzi la Wananchi ajabu nini?
Acha bwana!!!Na wameongeza ulinzi km alivyowaambia nimeona... ulinzi wameongeza
Yule jamaa tangu alivyosema Humphrey Polepole ana chip mwilini nilishajua hakuna kitu hapa.Makamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Watamdaka wampoteze kama mdogo wake.Kanali wa Insta
Wewe hapa uko mahakamani mpaka unapinga?Haki ya nini haki inapiganiwa Mahakamani si kwa Keyboard
Nathan hakusema kua baada ya masaa 24 atalipiza ,24 hrs ilitolewa hasa Kwa mwenyekiti wa uvccm mkoa wa kagera,aliye wahi sema mtu akiwa anazungumzia mama vibaya mtu huyo akipotea polis wasmtafute ,,Makamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Wanaulisha wenzao wao wanaingiza pesaHuyu Haibil wanamuita Ge-Z na wa angalia kwa jicho la pili naona kama maneno sana kuzidi vitendo hawa wameenda Upepo tu wa haya matukio
We kweli matakom.mlevi amesababisha wanajeshi wametapakaa kote Nchini..mama yenu nnya inagonga chupi nakurudi ndaniLile Levi lina bit balaaa😂😂😂
Kweli mipaka imehamia Ubungo hata mie naonaSi ndo Jeshi la Ulinzi la Wananchi ajabu nini?
Ngoja aje akupigie msumari kunduni ndipo ujue kuwa alikuwa anatania au la.Makamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Nasikia kashakitimua hukoHuyu jamaa aliweka saa 24 kwa sirikali kumwachia mdogo wake.
Baada ya muda huo kupita bila utekelezaji ndipo yeye ataanza yake.
Kumbuka, haya ya kwake(kulipiza kisasi) hakuweka muda maalum wa kuanza wala wa kumaliza.
Inabaki kisasi kama cha Palestina na Israel.
Km anaingiza pesa kwa kupigania haki huyo aweke namba yake nami nimchangie maana huyo anaya-risk maisha yake kwa ajili yetu...Wanaulisha wenzao wao wanaingiza pesa
Wapi mkuu, na Kuna nini.?Nasikia kashakitimua huko