Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,621
Wabongo kwa kudandia mambo, na hata humu wale wanaojiita wasomi, kwani ile Video yake ugumu ulikuwa wapi kueleweka?
Nukuu ''Natoa masaa24 kwa waliomteka polepole wawe wamemuachia kwa kumrudisha nyumbani kwa mama yake, within 24hours wafanye hivyo, wasipofanya hivyo nalipa kisasi''.
Hivi ninyi haters huyo jamaa ni wapi kasema atalipa kisasi ndani ya muda fulani?, ni wapi kasema atalipa kisasi baada ya masaa24?, zaidi ya kutoa deadline ya masaa24, lakn hajataja siku wala saa ya kuanza hiyo kazi yake.
Chuki za polepole zinawatesa mpaka mnamchukia brother wake, msimpangie muda, atafanya Kwa wakati wake.
Acheni chuki ninyi wasomi bandia