PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Makamanda Shalom!

Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF

Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.

Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
 
Maccm mwsho wenu umefka mlijua mtalitawala taifa hli mpk kiama hamtainuka tena, mnaua watu ksa madaraka wkt mlishaiba weee mna mapesa ya watanganyika kama yote mnataka muendelee kutawala kwa damu kuna nn mnafcha
 
Kima tu yule hana jipya anatengeneza content ajipati3 umashuhuri nchini
Huyu jamaa aliweka saa 24 kwa sirikali kumwachia mdogo wake.
Baada ya muda huo kupita bila utekelezaji ndipo yeye ataanza yake.
Kumbuka, haya ya kwake(kulipiza kisasi) hakuweka muda maalum wa kuanza wala wa kumaliza.
Inabaki kisasi kama cha Palestina na Israel.
 
Huyu jamaa aliweka saa 24 kwa sirikali kumwachia mdogo wake.
Baada ya muda huo kupita bila utekelezaji ndipo yeye ataanza yake.
Kumbuka, haya ya kwake(kulipiza kisasi) hakuweka muda maalum wa kuanza au kumaliza.
Inabaki kisasi kama cha Palestina na Israel.
Na wameongeza ulinzi km alivyowaambia nimeona... ulinzi wameongeza
 
Makamanda Shalom!

Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF

Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.

Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Anadai sio yeye ni AI
 
Effects si umeziona, nasikia wa JWTZ wamezagaa huko Dar es Salaam si mchezo
 
Huyu Haibil wanamuita Ge-Z na wa angalia kwa jicho la pili naona kama maneno sana kuzidi vitendo hawa wameenda Upepo tu wa haya matukio
 
Back
Top Bottom