PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sio kosa lako
 
Ninachomkubali ni kwamba keshajua kuwa Mibongo mingi ni Mipimbavu (Mipopoma) na Mijinga (Mingumbaru), Kiasili hivyo nafurahi anavyowajaza na kuwabwaga.
 
Muda wa maneno ( taarab) imekwisha
Sasa ni vitendo
Tarajia kuona mambo mageni ambayo hukuwahi kuyashuhudia
 
Ninachomkubali ni kwamba keshajua kuwa Mibongo mingi ni Mipimbavu (Mipopoma) na Mijinga (Mingumbaru), Kiasili hivyo nafurahi anavyowajaza na kuwabwaga.
Anatujaza au anamjaza mdogo wake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…