PostGE2025 Hivi zile Saa 24 alizotoa Augustin Polepole hazijaisha bado?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maccm mwsho wenu umefka mlijua mtalitawala taifa hli mpk kiama hamtainuka tena, mnaua watu ksa madaraka wkt mlishaiba weee mna mapesa ya watanganyika kama yote mnataka muendelee kutawala kwa damu kuna nn mnafcha
Kwahiyo unataka uibe halafu uachiwe tu, nyambaaaf
 
Kwani alisema atafanya yake instantly zikiisha saa 24?
 
Umenikumbusha muvi la Rambo linaitwa FIRST BLOOD NO 2

RAMBO= AUGUSTINO POLEPOLE
 

Attachments

  • IMG-20251127-WA0005.jpg
    88.1 KB · Views: 18
Mnahamisha magoli tena
Nani kaamisha magoli. Huyo polepole mkubwa mimi sijawahi kumsikiliza hata siku moja habari zake nazipata vipande vipande tu humu jf.

Ndio maana nikauliza hizo saa 24 alisema ataliamsha dude instantly au baada ya hapo na yeye akipiga tukio wasilalamike hakusema.
 
Exactly.

Mtu umetekewa mdogo wako, chanves are kashaukiwa.

Halafu kila mara unajitokeza mitandaoni kujifaragua utafanya hiki na lile.

Fanya kweli basi watu waone isiwe kila siku maneno matupu tu.
Hapo tupo kwenye ukurasa mmoja.
 
Mida baada ya saa 24 kupita au kabla?

Huyu si alisema Polepole ana chip? Chip imeishia wapi?
Kama ana chip maanaye anaweza kuwa located mbona mpka sasa hatujui aliko?
 
Kama ana chip maanaye anaweza kuwa located mbona mpka sasa hatujui aliko?
Zile zilikuwa bluffing tu na mpaka sasa huyu kaka mtu ana bluff tu.

Unaelewa bluffing ni nini?

Huelewi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…