Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,876
- 7,621
Nao wapate kazi za ziadaMwenge dar JW wametanda saa kumi mbili asubuhi.Polepole kawaongezea bajeti
Harafu sasa aliyemtisha jana leo katoka na Press Conference kumuonesha mataiziLile Levi lina bit balaaa😂😂😂
HeheheSema jamaa ana mkwala bwana, kama una roho nyepesi unaweza kumuamini
Kati ya topic moja kuu muhim kwenye maisha ni kutokupuuza kitu. Majasusi hili wanalijua sana. Serikali ilipuuza maandamano nadhan uliona kilichotokea. Kusema anatoa saa 24 inamaana kuanzia baada ya muda huo. Tunaomba Mungu yasitokeee ila mimi kwa intelligensia yangu namuona jamaa kama ni spika vile. Wasemaji halisi nadhan wapo kwa macho jicho la tatuMakamanda Shalom!
Makamanda juzi niliona lile lilevi Augustino Polepole anapiga mikwala kwenye Clip moja iliyowekwa humu JF
Asubuhi naamka najiuliza hivi haya masaa 24 ambayo yametolewa hayajaisha bado kwa sababu walevi huwa na mambo mengi asije akatuacha kwenye taharuki makamanda kumbe yeye alikua hata hamaanishi.
Lisipotokea lolote mpaka leo mchana basi atakua kaidhalilisha sana jamii ya walevi.
Makamanda naona mnachungulia Uzi mnakimbia.
Amefikia wapi?Wabongo kwa kudandia mambo, na hata humu wale wanaojiita wasomi, kwani ile Video yake ugumu ulikuwa wapi kueleweka?
Nukuu ''Natoa masaa24 kwa waliomteka polepole wawe wamemuachia kwa kumrudisha nyumbani kwa mama yake, within 24hours wafanye hivyo, wasipofanya hivyo nalipa kisasi''.
Hivi ninyi haters huyo jamaa ni wapi kasema atalipa kisasi ndani ya muda fulani?, ni wapi kasema atalipa kisasi baada ya masaa24?, zaidi ya kutoa deadline ya masaa24, lakn hajataja siku wala saa ya kuanza hiyo kazi yake.
Chuki za polepole zinawatesa mpaka mnamchukia brother wake, msimpangie muda, atafanya Kwa wakati wake.
Acheni chuki ninyi wasomi bandia
Yaani muanzisha uzi na vilaza wenzake wameshindwaje kulielewa hili!!??Huyu jamaa aliweka saa 24 kwa sirikali kumwachia mdogo wake.
Baada ya muda huo kupita bila utekelezaji ndipo yeye ataanza yake.
Kumbuka, haya ya kwake(kulipiza kisasi) hakuweka muda maalum wa kuanza wala wa kumaliza.
Inabaki kisasi kama cha Palestina na Israel.
Sawa mremboKutoka kwa huyo mlevi na Tapeli?
Anatuaibisha kweli mashabiki wakeUmetunzwa kuna lolote mpaka leo 31/12/2025?