Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Hawawezi Kupata kazi maana fursa hamna labda wafungue vilinge
KWa dsm ni sahihi Bora kufungua vilinge ila mikoan Kuna fursa mfano tu mkoa wa njombe vijana Wana Hela Sana fursa ni nyingi mno ishu watu hawatafuti fursa anangangania sehemu moja tu mfano huo ni uwekezaji wa parachichi njombe
 
KWa dsm ni sahihi Bora kufungua vilinge ila mikoan Kuna fursa mfano tu mkoa wa njombe vijana Wana Hela Sana fursa ni nyingi mno ishu watu hawatafuti fursa anangangania sehemu moja tu
Maisha ya DSM yapo vizuri huku tunaishi vizuri Huduma za kijamii zipo ,Sehemu nzuri zakutuliza Akili zipo MAZINGIRA Safi n.k Cha Muhimu muendelee kulima kwa bidii mkimaliza tutakuja kuwataftia masoko
 
Maisha ya DSM yapo vizuri huku tunaishi vizuri Huduma za kijamii zipo ,Sehemu nzuri zakutuliza Akili zipo MAZINGIRA Safi n.k Cha Muhimu muendelee kulima kwa bidii mkimaliza tutakuja kuwataftia masoko
Kama unafanya biashara ungejua kuwa upepo umechange ila kama unasikiliza story vijiwen huwezi jua now watu wamefunguka mno kibiashara mzee mikoa watu watu wanenda moja kwa moja china Dubai nk na bado nchi za east Africa wanaenda moja kwa moja maeneo ambako uzalishaji upo hii imefanya mikoa mingi kufunguka kutokana na miundombinu kuimarika tofauti na zamani
 
Sawa tutakuja tujionee uko mkoa gani?
 
Unaongelea kuhusu miaka 100 inayokuja.
Hata mia haiwezekani

Dar labda bandari ihamishwe iende Dodoma

Viwanda vingi kuwa Dar ni sababu kubwa ni bandari

Pili waliohamia Dodoma kutoka Dar ni vibarua waliolioajiriwa srrikalini tena wachache tu wale waliokuwa wakifanya kazi wizarani

Ofisi za mabalozi wa nchi mbalimbali, taasisi za kimataifa nk wapo Dar na hawana mpango wa kuhamia Dodoma na hakuna awezaye walazimisha wahamie Dodoma

Mahoteli makubwa ya hadhi kubwa nyota tano Tanzania nzima yako Dar kwenye Fukwe za bahari

Dodoma hazipo na hata mtu akijenga hotel za hadhi ya nyota tano Dodoma sio rahisi kupata wateja

Dar hata baada ya Dodoma kuwepo inaongiza kitaifa kuwa na population kubwa kuliko mji wowote Tanzania na mzunguko wa pesa ni mkubwa
 
Sijasemea Dodoma itaipita dar Bali Dodoma itapunguza makali ya Dar hivyo inaweza pitwa na mikoa mingine ambayo inaifukuzia.
Tegemeo.kuu la mzunguko wa hela Dodoma unategemea zaidi wafanyakazi wa serikali tofauti na Dar

Dodoma watu mitaani hela hawana Dar watu mitaani pesa wanazo hivyo kufanya mzunguko wa pesa kuwa mkubwa
 
 
Shda ya watu wa Mikoani mnahasira sana,
Mtu anaringanisha Dar na dodoma/Njombe si hasira hizo!!?
Njooni tu jaman hamna VISA kuja dar
 
Acheni kufananisha abuja na Lagos mjue Nigeria Haina coastal city nyingine zaidi ya lagos
 
Kama mtabisha na hizi dalili basi nitakubali kushindwa yaani bandari ya tanga na mtwara zipo bado mnajivunia bandari ikumbukwe Kenya inabandari ya meli kubwa moja ya mombasa na bado imepigwa bao na Nairobi.
 
CCM Haina mpango tena na dar haya imeendelea kujenga Hadi hospital ya kanda huko mtwara
 
Kuzihamishia embassies dodoma sio jambo jepesi hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…