DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hawawezi Kupata kazi maana fursa hamna labda wafungue vilingeYAkutosha na hawana Kaz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi Kupata kazi maana fursa hamna labda wafungue vilingeYAkutosha na hawana Kaz
KWa dsm ni sahihi Bora kufungua vilinge ila mikoan Kuna fursa mfano tu mkoa wa njombe vijana Wana Hela Sana fursa ni nyingi mno ishu watu hawatafuti fursa anangangania sehemu moja tu mfano huo ni uwekezaji wa parachichi njombeHawawezi Kupata kazi maana fursa hamna labda wafungue vilinge
Maisha ya DSM yapo vizuri huku tunaishi vizuri Huduma za kijamii zipo ,Sehemu nzuri zakutuliza Akili zipo MAZINGIRA Safi n.k Cha Muhimu muendelee kulima kwa bidii mkimaliza tutakuja kuwataftia masokoKWa dsm ni sahihi Bora kufungua vilinge ila mikoan Kuna fursa mfano tu mkoa wa njombe vijana Wana Hela Sana fursa ni nyingi mno ishu watu hawatafuti fursa anangangania sehemu moja tu
Kama unafanya biashara ungejua kuwa upepo umechange ila kama unasikiliza story vijiwen huwezi jua now watu wamefunguka mno kibiashara mzee mikoa watu watu wanenda moja kwa moja china Dubai nk na bado nchi za east Africa wanaenda moja kwa moja maeneo ambako uzalishaji upo hii imefanya mikoa mingi kufunguka kutokana na miundombinu kuimarika tofauti na zamaniMaisha ya DSM yapo vizuri huku tunaishi vizuri Huduma za kijamii zipo ,Sehemu nzuri zakutuliza Akili zipo MAZINGIRA Safi n.k Cha Muhimu muendelee kulima kwa bidii mkimaliza tutakuja kuwataftia masoko
Sawa tutakuja tujionee uko mkoa gani?Kama unafanya biashara ungejua kuwa upepo umechange ila kama unasikiliza story vijiwen huwezi jua now watu wamefunguka mno kibiashara mzee mikoa watu watu wanenda moja kwa moja china Dubai nk na bado nchi za east Africa wanaenda moja kwa moja maeneo ambako uzalishaji upo hii imefanya mikoa mingi kufunguka kutokana na miundombinu kuimarika tofauti na zamani
Hata mia haiwezekaniUnaongelea kuhusu miaka 100 inayokuja.
Tegemeo.kuu la mzunguko wa hela Dodoma unategemea zaidi wafanyakazi wa serikali tofauti na DarSijasemea Dodoma itaipita dar Bali Dodoma itapunguza makali ya Dar hivyo inaweza pitwa na mikoa mingine ambayo inaifukuzia.
Si umeona Hawa jamaa baada ya kusain tu mkataba wa bandari wamesha angalia wap now Kuna furaSawa tutakuja tujionee uko mkoa gani?
Sawa
DP WORLD YAFUATA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI NJOMBE
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DP World ya Dubai Sultan Ahmed bin Sulayem mara baada ya kusaini Mkataba wa Uendeshaji wa Gati namba 4 mpaka 7 za Bandari ya Dar es Salaam Jana Oktoba 22,2023 alianza safari kwenda Mkoa wa Njombe kwa lengo la kutazama fursa mbalimbali za uwekezaji.
Leo Oktoba 23, 2023 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Kissa Gwakisa na viongozi wengine wamekutana na kufanya mazungumzo katika Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Njombe.
Pamoja na Mambo mengine wamejadili kuja kufanya uwekezaji kwenye eneo la Utalii,Ujenzi wa Hotel kubwa yenye hadhi ya nyota 5, Kilimo cha chai na mazao ya Miti pamoja na Uwekezaji mkubwa kwenye eneo la Madini ya Chuma na Makaa ya Mawe.
"Ninamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kufungua fursa za kiuwekezaji nchini kwetu Tanzania, Leo hii muwekezaji mkubwa katika bandari yetu ya Tanzania amefika Mkoani Njombe akiongozana na mfanyabiashara mkubwa kwenye Mkoa wetu akitokea nchini kenya Bw. na ameahidi kuwa atafanya uwekezaji kwenye eneo la Ujenzi wa Hotel kubwa za Kitali, lakini pia tumetumia nafasi hii kama Mkoa kumkaribisha kwenye uwekezaji kwenye eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mkoa wa Njombe". Alisema Mhe. Mtaka
tujionee uko mkoa gani?
Mkuu unapafahamu Buzirayombo.?Utakuwa upo buzirayombo sengerema...!
Karibu mjini
Huko tulisha kuja hakuna jipya huko mkoani kumenoga sana miaka hiiShda ya watu wa Mikoani mnahasira sana,
Mtu anaringanisha Dar na dodoma/Njombe si hasira hizo!!?
Njooni tu jaman hamna VISA kuja dar
Kuzihamishia embassies dodoma sio jambo jepesi hivyo...Mkuu hali ipo wazi watu wanabisha bure tu. Dar ilikuzwa haikukua kama miji mingine, imagine shughuli zote za nchi zilikuwa Dar yaani mikoa mingine iliachwa yatima kabsaa. Kwa hii decentralization inayofanyika ni mtu asiye visionary ndo ataona Dar haitopungua influence
Imagine serikali iondoke fully, ina maanisha agencies zote zinazoitegemea serikali kwa tenders na vitu vingine zitahamia Dodoma
Wafanyakazi wooote watahamia dom
Msalato ikiisha huku embassies na mashirika ya kimataifa yahamie Dodoma ina maanisha hotel kubwa na real estates companies lazma ziione Dodoma kama sehemu ya kuwekeza
Hapo hujafikiria kama shughuli za kiuongozi na kiserikali zikihamia Dom, lazma ianzishwe media kubwa au zilizopo baadhi zihamie hapo ili kutoa taarifa nchi nzima
Haya kuna bandari kavu, SGR itapita, lazma biashara zitachanganya
Uzuri dom inakua kwa plan kwa hiyo sitegemei siku Dom iwe vagalanti kama Dar
Na uzuri serikali ikisema kitu kuhusu dom lazma kifanyike japo wasiwasi wangu tu ni kuwa dom inakuzwa na serikali, siku ikiacha kuiingizia hela ndo tutapata picha halisi kama itaweza kukua kwa kasi on its own. Japo kuwa kwenye top 3 ya majority kwa Tanzania haiepukiki