Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

Ama kweli dar mna viwanda vingi😁😁😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20231109-185907.png
    109.9 KB · Views: 11
Hii nakubali
 
Ongea kitu kingine Dar ni moto wa kuotea mbali kabisa. Huko mikoa mingine mkifika hatua ya kutupa manyoya tu katika maandalizi ya kuuza kitoweo kuku basi mtaipiku Dar. Dar Kila biashara safi, hata kama kazi yako kuuza vichwa vya kuku au kukaanga utumbo wa broiler unaishi na unalipa kodi fresh.
 
ukitaka kujua dar kubwa angalia malalamiko ya foleni,halafu iangalie iyo dodoma yako ambayo ikifika saa moja jioni usafiri wa daladala ni wa tabu sana
 
Ndio tunataka hio sio kurundika kila kitu mkoa mmoja watu wanajazana humo mpk serikali inazidiwa kutoa huduma za kijamii
 
Yaani mentality za watu dar sijui ziko vipi. Yaani hizo biashara zenu za uongo na kweli kama hizo ulizotaja ndio kigezo kuwa dar ndio mkoa ambao hautakuja kupitwa.
 
ukitaka kujua dar kubwa angalia malalamiko ya foleni,halafu iangalie iyo dodoma yako ambayo ikifika saa moja jioni usafiri wa daladala ni wa tabu sana
Mkuu nakusii uwe unasoma na comments zilizopita tumeelea vyema huko awali
 
miaka buku dar haiwezi kupitwa na kamji kokote ka Tz, tena kuwa na no. 2, 3, 4 nk bado ni kuidhalilisha dar. Yaan ilitakiwa tuseme Dar ni ya kwanza, no 2 hadi 14 hakuna, no 15 ni mwanza, 16 ni arusha, 20 dodoma. Nakubali Dodoma inaweza kuipita miji mingine yote in 10 to 15 yrs but not Dar. So far ukitoa Dar, dodoma ndio mji unaoongoza kwa kukua kwa kasi
 
Bila hoja hayo ni makelele
 
Endeleeni kukaza mafuvu mbambabay [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Mnaosema dar itabaki kuwa juu nendeni Nairobi harafu mkatembee na mombasa muone nairobi ilivyoiacha mombasa
Sasa si Bora hata ya mombasa bandari kuu IPO moja ila tz sasa zinakua 3 baharini na hiyo ya mtwara mizigo itashushwa Hadi ya Malawi, musumbiji na zambia. Bado mtu anakuambia nakupigwa bao ni miaka 1000
 
Yaani center zote hizi.
Dodoma
Tanga
Mtwara
Makambako
Mbambabay
Bado hatuamini kua dar inapigwa bao kiuchumi kweli wa afrika tuna akili NDOGO.
 
Daah!
We jamaa unatumia vibaya uhuru wa maoni.
Kweli kabisa unawaza hivyo vijiji vitaipita Dar?
Vijiji vinaipunyua dar Kwa nyuma Kwa utajiri basi hata hio dar ni kijiji tu kilicho changa amka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…