Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
- Thread starter
- #341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima zihame zifuate government support kama vile ulinzi na diplomasiaKuzihamishia embassies dodoma sio jambo jepesi hivyo...
Hii nakubaliKama unafanya biashara ungejua kuwa upepo umechange ila kama unasikiliza story vijiwen huwezi jua now watu wamefunguka mno kibiashara mzee mikoa watu watu wanenda moja kwa moja china Dubai nk na bado nchi za east Africa wanaenda moja kwa moja maeneo ambako uzalishaji upo hii imefanya mikoa mingi kufunguka kutokana na miundombinu kuimarika tofauti na zamani
ukitaka kujua dar kubwa angalia malalamiko ya foleni,halafu iangalie iyo dodoma yako ambayo ikifika saa moja jioni usafiri wa daladala ni wa tabu sanaWakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.
1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es Salaam.
2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakuwa na urahisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za Serikali.
3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.
4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.
5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.
Karibu Kwa mjadala
Ndio tunataka hio sio kurundika kila kitu mkoa mmoja watu wanajazana humo mpk serikali inazidiwa kutoa huduma za kijamiiWakuu ni hivi kutokana Hali ilivyo sasa naona kuna kila sababu ambayo itaitoa Dar kama namba moja katika swala Zima la uchumi. Sababu ni hizi.
1. Kuhamishwa Kwa ikulu na ofisi za Serikali. Hii imepunguza idadi kubwa ya watu ambao wangelazimika kusafiri na kuwepo mjini Dar. Hivyo imepunguza wananuzi wa mahitaji na huduma mji Dar es Salaam.
2. Ujenzi wa SGR ya Dar Hadi Dodoma hii itapelekea kuhamishwa kwa viwanda vingi kwani vikiwepo Dodoma kutakuwa na urahisi wa usafirishaji wa mizigo na magarifi kutoka mikoa mingine. Pia viwanda vingi vitapenda kuwa karibu na ofisi za Serikali.
3. Ujenzi wa miundo mbinu Bora Kwa mikoa mingine Kwa kipindi kifupi kilichopita tumeshuhudia ujenzi wa miundo yenye tija Kwa mikoa mingine Mfano mpango wa upanuzi wa bandari ya Mtwara na ya Mbambabay pia ujenzi wa reli ya Mbambabay Hadi Mtwara. Kwa hiyo baadhi ya mizigo itapungua bandari ya Dar pia baadhi ya viwanda vitajengwa huko Mtwara.
4. Ukuaji wa science na technology Kwa Sasa rasilimali nyingi ambazo zilikua hazivuniki lakini Kwa Sasa Kwa mashine za kisasa za bei nafuu. Zimefanya hata wazawa na wageni wakizitumia kuvuna rasilimali zilipo mkoani Mfano Iringa kumekuwepo na viwanda vingi vya playwood ambavyo Kwa Sasa vingi vinamatawi Njombe hivi vimeifanya Dar kupunyuliwa mkiani Kwa uchumi na Iringa na uwepo wa solar na bodaboda n.k umefanya watu waweze kulima hata sehemu za mbali.
5.Ukuwaji wa center nyingine za kibiashara kama vile Mwanza, Makambako na Dodoma kutapunguza umaarufu wa Dar.
Karibu Kwa mjadala
Yaani mentality za watu dar sijui ziko vipi. Yaani hizo biashara zenu za uongo na kweli kama hizo ulizotaja ndio kigezo kuwa dar ndio mkoa ambao hautakuja kupitwa.Ongea kitu kingine Dar ni moto wa kuotea mbali kabisa. Huko mikoa mingine mkifika hatua ya kutupa manyoya tu katika maandalizi ya kuuza kitoweo kuku basi mtaipiku Dar. Dar Kila biashara safi, hata kama kazi yako kuuza vichwa vya kuku au kukaanga utumbo wa broiler unaishi na unalipa kodi fresh.
Mkuu nakusii uwe unasoma na comments zilizopita tumeelea vyema huko awaliukitaka kujua dar kubwa angalia malalamiko ya foleni,halafu iangalie iyo dodoma yako ambayo ikifika saa moja jioni usafiri wa daladala ni wa tabu sana
Mkoa gani kwa mfano?Sijasemea Dodoma itaipita dar Bali Dodoma itapunguza makali ya Dar hivyo inaweza pitwa na mikoa mingine ambayo inaifukuzia.
Bila hoja hayo ni makelelemiaka buku dar haiwezi kupitwa na kamji kokote ka Tz, tena kuwa na no. 2, 3, 4 nk bado ni kuidhalilisha dar. Yaan ilitakiwa tuseme Dar ni ya kwanza, no 2 hadi 14 hakuna, no 15 ni mwanza, 16 ni arusha, 20 dodoma. Nakubali Dodoma inaweza kuipita miji mingine yote in 10 to 15 yrs but not Dar. So far ukitoa Dar, dodoma ndio mji unaoongoza kwa kukua kwa kasi
Mbeya, Dom, njombe, iringa na nkMkoa gani kwa mfano?
Daah!Mbeya, Dom, njombe, iringa na nk
Sasa si Bora hata ya mombasa bandari kuu IPO moja ila tz sasa zinakua 3 baharini na hiyo ya mtwara mizigo itashushwa Hadi ya Malawi, musumbiji na zambia. Bado mtu anakuambia nakupigwa bao ni miaka 1000Mnaosema dar itabaki kuwa juu nendeni Nairobi harafu mkatembee na mombasa muone nairobi ilivyoiacha mombasa
Vijiji vinaipunyua dar Kwa nyuma Kwa utajiri basi hata hio dar ni kijiji tu kilicho changa amka.Daah!
We jamaa unatumia vibaya uhuru wa maoni.
Kweli kabisa unawaza hivyo vijiji vitaipita Dar?