Uwe nazo usiwe nazo wote tutakufa.Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Kwa mfano ukipewa Sh. 10m Kila siku utakuwa unazifanyia Nini?Fedha inarahisisha maisha sana sehemu yeyote duniani. Ukiwa na fedha ukipata shida unatumia akili kidogo tu unatoboa.
Du. Umenivunja mbavu mkuu. Na mbaya zaidi maskini ndiyo huugua na kufa kwa taabu kubwa na kwa wingi. Jibu lako linabidi liwe ndiyo mwisho wa thread kwani umemaliza kila kitu.Ingekuwa masikini hawafi wala kuugua ningekuelewa.
Huyo ni mhanga mwingine wa umaskini anajaribu kujifariji. Miili yetu imepewa namna nyingi za kujifariji ili tusiangamie kwa mawazo na kihoro.Moja ya thread ya kipumbavu kusoma mwaka huu ni hiii
Tafuta pesa sana malengo yako yasiwe makubwa na upate muda wa kuitumia na kuinjoi maisha pamoja na kupumzika.Mfano ulikuwa unashauri sasa tufanyaje ?
Dalili za mtu aliyekata tamaa na maisha..pole sana!Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
kifo ni kwa kila mtu na kuwa na pesa ya matibabu haimaanishi kuwa utakuwa exempted na kifo.na maskini wanakufa kila siku na kuacha wapendwa wao kwa kukosa pesa za matibabu....
Mimi nilikuwa napenda pesa haswa overtime maan kazi ya kuajiriwa ,nilikuwa nafanya mpaka jumapili ndani ya miaka miwili nimechoka ,tena niliumwa kabisa kwa kusaka pesa za overtime naforce ila wapi.Sema kwa namna ulivyo andika hivyo unaonekana ni mtu ambaye:-
1. Umetanguliza sana dini mbele ( umaskini ndo huazia hapa)
2. Maneno ya vijiweni kwa sana( mipango isiyo na vichwa wala miguu)
Nmeona depression ndani yako, ukiendekeza utakufa kabla ya mda.Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Ni kweli mkuu, hela zitafutwe wastani siyo kutumia mda mwingi sana, maana mwili, ubongo utachoka haraka hata kupelekea kupata maradhi kama ulivyo sema.Mimi nilikuwa napenda pesa haswa overtime maan kazi ya kuajiriwa ,nilikuwa nafanya mpaka jumapili ndani ya miaka miwili nimechoka ,tena niliumwa kabisa kwa kusaka pesa za overtime naforce ila wapi.
Nikaona ujinga bora nipumzike cha kufa bure ,kula bata maisha kuna angel huwezi kufika kama kufika utafika ila sio kwa kutumia nguvu.
Umasikini uliwahi kutibu ugonjwa gani? Au umasikini unaleta jawabu gani la maisha?Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
kansa haina tiba kiujumla, vipi kuhusu wanaokufa kwa marelia? ....na wenyewe tuwaache tu wafe kwasababu kifo ni lazima kwa kila mtu?....kifo ni kwa kila mtu na kuwa na peaa ya matibabu haimaanishi kuwa utakuwa exempted na kifo.
Bob collymore the late safaricom Ceo , amefariki kwa ugnjwa wa kansa ilhali akiwa na pesa tele pamoja na access ya huduma bora kabisa za afya.
Kifo ni lazima Hilo kwanza unatakiwa ulijue. Kila ugonjwa una stages zake inategemea bahati ya mgonjwa. Hiyo kansa Kuna watu wanapona kabisa na hiyo maleria unayoiona rahisi kutibu Kuna watu inawaua wakiwa kwenye expensive Icu.kansa haina tiba kiujumla, vipi kuhusu wanaokufa kwa marelia? ....na wenyewe tuwaache tu wafe kwasababu kifo ni lazima kwa kila mtu?....