Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Uwe nazo usiwe nazo wote tutakufa.Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Matokeo ya kutokuwa na pesa ni kuteseka mara 5 zaidi ya mwenye pesa.
Pesa itafutwe lkn pia tusisahau kuishi, maana maisha ndio haya.