Imagine luku au gas imekata na huna hata Mia.. Achana na pesa mkuu
Utazikwa nayo? Na ujizikwa nayo wahuni lazima waifwate usiku
Ukishakuwa maskini haya ndo mawazo bora kabisa.Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Jamaa anajaribu kutudanganya kuwa utajiri ni mbaya kuliko umasikini.Du. Umenivunja mbavu mkuu. Na mbaya zaidi maskini ndiyo huugua na kufa kwa taabu kubwa na kwa wingi. Jibu lako linabidi liwe ndiyo mwisho wa thread kwani umemaliza kila kitu.
Zingatia.wewe wahongwe wanaume wengine. Wewe unadhan pesa zenu haziliwi na wahuni? Pambania tuKwa hiyo bora kuwa masikini, kwa maana utazikwa na huo umasikini?
Achana na mawazo ya kijinga. Zingatia maokoto.
Kipindi cha Corona kuna watu wali-order sindano kutoka Nairobi ili wapone pale KCMC. Halafu mtu anakuja hapa anasema pesa haina umuhimu. Waliokuwa na uwezo walikuwa wanaambiwa dawa zitakazowasaidia kupona. Ambao hawana hela walikuwa hawaambiwi chochote wanaachwa waondoke kimya kimya.Ingekuwa masikini hawafi wala kuugua ningekuelewa.
Nani aliyesema Corona imeua maskin?Kipindi cha Corona kuna watu wali-order sindano kutoka Nairobi ili wapone pale KCMC. Halafu mtu anakuja hapa anasema pesa haina umuhimu. Waliokuwa na uwezo walikuwa wanaambiwa dawa zitakazowasaidia kupona. Ambao hawana hela walikuwa hawaambiwi chochote wanaachwa waondoke kimya kimya.
UmenenaTutunze afya ili itupe nguvu ya kutafuta pesa
😍Umenena
Kipindi cha covid wakati inaanza kama ni masikini halafu una tatizo la pumu, huna hata covid ila unakufa maana ukiingia tu hospitali huwezi kuhema watu wanakimbia mpaka manesi.Kipindi cha Corona kuna watu wali-order sindano kutoka Nairobi ili wapone pale KCMC. Halafu mtu anakuja hapa anasema pesa haina umuhimu. Waliokuwa na uwezo walikuwa wanaambiwa dawa zitakazowasaidia kupona. Ambao hawana hela walikuwa hawaambiwi chochote wanaachwa waondoke kimya kimya.
Zingatia.wewe wahongwe wanaume wengine. Wewe unadhan pesa zenu haziliwi na wahuni? Pambania tu
Kabla hujapost ya machicha ya mbege tunaomba tuone kwenye balance yako ya benki ni kiasi gan.Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Hakuna kiasi kwenye kutafuta pesaTutafute kwa kiasi, na pia tujue kuna kuishi pia; kufikisha miaka 75 ni changamoto kwa wengi.
HAya kas na njaa zako uone kama zitakusaidia kituNimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Nimesema waliokufa wengi KCMC walikuwa hawana hela ya sindano ambazo zilikuwa zinachomwa siongei story za alinacha. Na madaktari husika walikuwa wanawapa taarifa kuhusu hizi sindano wagonjwa wenye uwezo wa kifedha. Wakijua uwezo wako mdogo wanakausha na hawakuambii chochote. Baada ya kuchunguza nikagundua huu ni mchezo wa madaktari katika hospitali nyingi hapa nchini. Kama wanajua kuna njia ya kumtibu mgonjwa wako lakini hauna uwezo wa kifedha hawakuambii. Wanampa mgonjwa placebo siku zinaenda wanasubiri a-expire. Hata safari ya matibabu India kama hauna uwezo hauambiwi kuwa unaweza kupona ukienda India. Wanakausha kimya wanakuacha uende kwa Sir God. Hapa ndiyo nilipukuja kujua umuhimu wa pesa.Nani aliyesema Corona imeua maskin?
Chunguza upya.
Wkt wa króna ndio kwanza maskin walijaa sokoni nakadhalika kwneye biashara zao. Unadhani wangejifungia wangekula nini.
Kwa sasa tatizo la shinikizo la damu wanaumwa tafuta maskini.
Sukari wanaoumwa ni wenye pesa
Hofu ni wenye pesa. Na ukizungumzia pesa umaanishe pesa sio ki 100k cha kula wiki 2. Hivi unajua w3nye pesa wanaua million kwa wiki?? Acha kufikiria kimkiamkia wa mbuzi
Fanya yote uwe nazo tuNimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Ukiona pesa haina umuhimu kwako usiitafute kaa tu bila kufanya kazi,uchaguzi ni wako.Nani aliyesema Corona imeua maskin?
Chunguza upya.
Wkt wa króna ndio kwanza maskin walijaa sokoni nakadhalika kwneye biashara zao. Unadhani wangejifungia wangekula nini.
Kwa sasa tatizo la shinikizo la damu wanaumwa tafuta maskini.
Sukari wanaoumwa ni wenye pesa
Hofu ni wenye pesa. Na ukizungumzia pesa umaanishe pesa sio ki 100k cha kula wiki 2. Hivi unajua w3nye pesa wanaua million kwa wiki?? Acha kufikiria kimkiamkia wa mbuzi
Waulize watu waliopoteza ndugu kisa kukosa 20 ya dawa ndo watakwambia umhimu wa kuwa na pesaNimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.