Hiyo fedha unayoihangahikia na kuitolea macho kila ipo siku utagundua kuwa fedha si lolote, si chochote, ni suala la muda tu

Imagine luku au gas imekata na huna hata Mia.. Achana na pesa mkuu

Achana na luku au gas mkuu, chukulia kitoto kinaumwa kimepandisha joto halafu kinahema kama kinataka kukata moto, halafu huna bima wala huna hata mia ndani.
Hujakaa sawa, wamekuitia msiba kijijini. Hapo lazima uanze kumkumbuka TX Moshi William na kuanza kuimba, wanaume tumeumbwa, matesoo matesoo kuhangaika.
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.

Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.

Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Ukishakuwa maskini haya ndo mawazo bora kabisa.
 
Watu wanaotafuta hela bila kuishi me nawatafsiri kama wenye nyota ya punda tu
How come utafute hela kwaajili ya kurithisha tu watu
Unakuta mtu hazingatii suala la afya
Mtu hazingatii ulaji bora wenye afya
Huyo ni masikini wa akili
Ukiwa Na hela mambo yako inatakiwa yawe classic sana yani mtu akikuangalia anapata tafsiri halisi ya kuwa na hela

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa masikini hawafi wala kuugua ningekuelewa.
Kipindi cha Corona kuna watu wali-order sindano kutoka Nairobi ili wapone pale KCMC. Halafu mtu anakuja hapa anasema pesa haina umuhimu. Waliokuwa na uwezo walikuwa wanaambiwa dawa zitakazowasaidia kupona. Ambao hawana hela walikuwa hawaambiwi chochote wanaachwa waondoke kimya kimya.
 
Nani aliyesema Corona imeua maskin?
Chunguza upya.

Wkt wa króna ndio kwanza maskin walijaa sokoni nakadhalika kwneye biashara zao. Unadhani wangejifungia wangekula nini.

Kwa sasa tatizo la shinikizo la damu wanaumwa tafuta maskini.

Sukari wanaoumwa ni wenye pesa

Hofu ni wenye pesa. Na ukizungumzia pesa umaanishe pesa sio ki 100k cha kula wiki 2. Hivi unajua w3nye pesa wanaua million kwa wiki?? Acha kufikiria kimkiamkia wa mbuzi
 
Kipindi cha covid wakati inaanza kama ni masikini halafu una tatizo la pumu, huna hata covid ila unakufa maana ukiingia tu hospitali huwezi kuhema watu wanakimbia mpaka manesi.
 
Zingatia.wewe wahongwe wanaume wengine. Wewe unadhan pesa zenu haziliwi na wahuni? Pambania tu

Mkuu kwa hiyo zikiliwa na wahuni ndiyo niogope au niache kuzingatia maokoto?
Ha ha haaa 😂
Kwa hiyo wee ndiyo wale wanaoogopa kujenga mijengo kwa kuwa watakufa.
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.

Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.

Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Kabla hujapost ya machicha ya mbege tunaomba tuone kwenye balance yako ya benki ni kiasi gan.

#Umemegumzo
 
Tutafute pesa jamani
Pesa ni muhimu sana, Mungu mwenyewe anahitaji pesa zetu zitumike kusambaza neno lake huko duniani.
Pesa zinasaidia usidharirike.

Tutafute pesa
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.

Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.

Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
HAya kas na njaa zako uone kama zitakusaidia kitu
 
Nani aliyesema Corona imeua maskin?
Chunguza upya.

Wkt wa króna ndio kwanza maskin walijaa sokoni nakadhalika kwneye biashara zao. Unadhani wangejifungia wangekula nini.

Kwa sasa tatizo la shinikizo la damu wanaumwa tafuta maskini.

Sukari wanaoumwa ni wenye pesa

Hofu ni wenye pesa. Na ukizungumzia pesa umaanishe pesa sio ki 100k cha kula wiki 2. Hivi unajua w3nye pesa wanaua million kwa wiki?? Acha kufikiria kimkiamkia wa mbuzi
Nimesema waliokufa wengi KCMC walikuwa hawana hela ya sindano ambazo zilikuwa zinachomwa siongei story za alinacha. Na madaktari husika walikuwa wanawapa taarifa kuhusu hizi sindano wagonjwa wenye uwezo wa kifedha. Wakijua uwezo wako mdogo wanakausha na hawakuambii chochote. Baada ya kuchunguza nikagundua huu ni mchezo wa madaktari katika hospitali nyingi hapa nchini. Kama wanajua kuna njia ya kumtibu mgonjwa wako lakini hauna uwezo wa kifedha hawakuambii. Wanampa mgonjwa placebo siku zinaenda wanasubiri a-expire. Hata safari ya matibabu India kama hauna uwezo hauambiwi kuwa unaweza kupona ukienda India. Wanakausha kimya wanakuacha uende kwa Sir God. Hapa ndiyo nilipukuja kujua umuhimu wa pesa.
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.

Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.

Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Fanya yote uwe nazo tu
 
Nani aliyesema Corona imeua maskin?
Chunguza upya.

Wkt wa króna ndio kwanza maskin walijaa sokoni nakadhalika kwneye biashara zao. Unadhani wangejifungia wangekula nini.

Kwa sasa tatizo la shinikizo la damu wanaumwa tafuta maskini.

Sukari wanaoumwa ni wenye pesa

Hofu ni wenye pesa. Na ukizungumzia pesa umaanishe pesa sio ki 100k cha kula wiki 2. Hivi unajua w3nye pesa wanaua million kwa wiki?? Acha kufikiria kimkiamkia wa mbuzi
Ukiona pesa haina umuhimu kwako usiitafute kaa tu bila kufanya kazi,uchaguzi ni wako.
Maana unaogopa kupata pesa kwamba Kuna magonjwa ya matajiri,hofu vyote hivo wameandikiwa matajiri,dawa ya kisukari ni umasikini,kazi unayo.
 
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.

Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.

Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado hayajaweza kuwapa jawabu la maisha. Wanaendelea kutafuta pesa na hawatapata jawabu na utulivu mpaka kifo kiwakute
Waulize watu waliopoteza ndugu kisa kukosa 20 ya dawa ndo watakwambia umhimu wa kuwa na pesa
 
Back
Top Bottom