eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Imagine luku au gas imekata na huna hata Mia.. Achana na pesa mkuu
Achana na luku au gas mkuu, chukulia kitoto kinaumwa kimepandisha joto halafu kinahema kama kinataka kukata moto, halafu huna bima wala huna hata mia ndani.
Hujakaa sawa, wamekuitia msiba kijijini. Hapo lazima uanze kumkumbuka TX Moshi William na kuanza kuimba, wanaume tumeumbwa, matesoo matesoo kuhangaika.