😂😂😂😂We Paulo wewe, vibaya hivyo. Mnunulie mkeo abaya atambe nalo sikukuu hii. Utaona chumbani kutakavyo changamka
Ishi naye kwa akili ulitakiwa Jana umlie dawa ya chango ili umkojozeWakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya.
Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya abaya ili uwaoneshe majirani kwa ajili ya siku moja tu?
Nikamwambia embu utavaa siku nyingine hii siku ni moja tu acha ipite.,,naona ndio kanuna..isitoshe unamaabaya karibia manne humu ndani acha leo mtoto avae wewe utavaa siku nyingine...lakini pia ushakuwa mtu mzimaa pressure ya nguo ya sikuu kuu unaitoa wapi au unataka tutibuane saizi.
Ikumbukwe leo tumeamka chalii wetu anajiskia vibaya mno...nikamchukua yeye na mtoto hao kwenye boda tukaelekea hospital...pale imekata vipimo,dawa...usafiri kama 50000 hivi.
Wakuu nimempotezea huyu kiumbe ...nimeenda africana nikanunua jogoo nikapika mwenyewe na pilau...nimeona bado kanuna hadi saivi..nimesaidiana na wana tumetoa kitu maisha yameendelea nasubiria usiku sijui atanipa...haya bhana kataa ndoa wanazidi kupata point tatu muhimu.
😂😂😂😂😂Usiku utakumbatia jogoo lako ulilochinja mchana 😹😹😹
Mkuu angalia na simu yake kadelete My hubby kakusevu Paul 12:5 🤣
Huwa nashangaa sana ,mwanamke anaweza akajaza chumba kizima nguo na zote kali zinamtosha ,kwakuwa majirani washaziona hivyo akirock watamcheka na hata akinunua abaya nyingine kali ataivaa mara moja kisha ataitupa kabatini haivai tena.unamaabaya karibia manne humu ndani
Ahahah kaka pole sanaTukikutana na zahma kama hizi ndio natamani ningekuwa Mwachiluwi unatoa msosi wa kufa mtu halafu unamnyima na kisirani chake cha abaya.
Bahati mbaya ninachojua kupika ni maji ya kuoga tu.
🤣🤣🤣 daaah umejua kufikiriaAdam kajisahsu kidogo tu, nyoka kaja kamtoa outing Eva kamnunulia maepo!!!!
Ndio hadi leo tunateseka
Abaya ndo nani huko Dales salaama?Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya.
Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya abaya ili uwaoneshe majirani kwa ajili ya siku moja tu?
Nikamwambia embu utavaa siku nyingine hii siku ni moja tu acha ipite.,,naona ndio kanuna..isitoshe unamaabaya karibia manne humu ndani acha leo mtoto avae wewe utavaa siku nyingine...lakini pia ushakuwa mtu mzimaa pressure ya nguo ya sikuu kuu unaitoa wapi au unataka tutibuane saizi.
Ikumbukwe leo tumeamka chalii wetu anajiskia vibaya mno...nikamchukua yeye na mtoto hao kwenye boda tukaelekea hospital...pale imekata vipimo,dawa...usafiri kama 50000 hivi.
Wakuu nimempotezea huyu kiumbe ...nimeenda africana nikanunua jogoo nikapika mwenyewe na pilau...nimeona bado kanuna hadi saivi..nimesaidiana na wana tumetoa kitu maisha yameendelea nasubiria usiku sijui atanipa...haya bhana kataa ndoa wanazidi kupata point tatu muhimu.
Eeh kwahiyo mume anauziwa papuchi na mkewe, kwa gharama ya abaya ChujioWe Paulo wewe, vibaya hivyo. Mnunulie mkeo abaya atambe nalo sikukuu hii. Utaona chumbani kutakavyo changamka
Kataa ndoa kila mwaka watakua wanachukua makombe.....hii inatokana na ubora wa timu Kwa kila msimu,pia mkumbuke ndo timu yenye mashabiki wengi duniani.Full Time
Wenye ndoa 0 kataa ndoa 3