Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

Akili za mitandao ya kijamii inavyoharibu watu...
 
Uliiapa kwa mtume "utanunua abaya" wakati sele anafungua zipu ya kipochi manyoya.....na pesa najua unayo leo umenigeuka umenunua kwa nyumba ndogo pekee Kwa nini nisisuse..pika mwenyewe.

NB:Waislam kwa nini mnaapa kwa mtume alafu munashindwa kutimiza ahadi zenu, hamuoni kuwa mnamkosea mtume.

Mfano,muislam atasikika akisema

"Mtume kabsa kesho nitakuletea pesa yako..."lakini ikifika kesho anakacha.

Waislam. Msimfanye mtume kama kichaka cha kufichia maovu yenu au mbinu ya kujinasua kutokana na maovu yenu...mtadaiwa siku ya kiama.
 
Tukikutana na zahma kama hizi ndio natamani ningekuwa Mwachiluwi unatoa msosi wa kufa mtu halafu unamnyima na kisirani chake cha abaya.

Bahati mbaya ninachojua kupika ni maji ya kuoga tu.
 
Upuuzi ni mwingi sana kwenye ndoa ila tunapambana na vifungo vyetu mpaka kieleweke
 
Ishi naye kwa akili ulitakiwa Jana umlie dawa ya chango ili umkojoze
 
unamaabaya karibia manne humu ndani
Huwa nashangaa sana ,mwanamke anaweza akajaza chumba kizima nguo na zote kali zinamtosha ,kwakuwa majirani washaziona hivyo akirock watamcheka na hata akinunua abaya nyingine kali ataivaa mara moja kisha ataitupa kabatini haivai tena.

CAG hayo anaita matumizi mabovu ya pesa ,mimi nanunua nguo endapo niliyonayo either imepauka au inaanza kuchakaa ,kama ipo fresh naweza dunda nayo hata miaka miwili na naidunda kila baada ya siku mbili.
 
Hao wanaume wa kudekea hivyo ni wachache sana
 
Abaya ndo nani huko Dales salaama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…