LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,394
- 6,550
Mwambie kwa kidiplomasia. Kuwa abaya atapewa na mwanaume mwingine asipokuwa na kauli / ubabe bilankutumia akili kwa hawa viumbeNaogopa sana kusema mke wako anaweza akakuchiti kwa mtandio tu wa abaya 😭😭😭
Jitahidi uwe unafanya maandalizi ya hizo abaya mapema, mfano wiki, wiki mbili au hata mwezi kabla
Bora nilivyomwambia kwa njia hii maana jamaa anaonesha anampenda sana mke wake kwahiyo kuumia ni rahisi sanaMwambie kwa kidiplomasia. Kuwa abaya atapewa na mwanaume mwingine asipokuwa na kauli / ubabe bilankutumia akili kwa hawa viumbe
Nakazia hapa👿Kataa ndoa kila mwaka watakua wanachukua makombe.....hii inatokana na ubora wa timu Kwa kila msimu,pia mkumbuke ndo timu yenye mashabiki wengi duniani.
Punguza hasira Sheikh🤣🤣Unapika kwani wewe ni Mwachiluwi ? Umepika yanini? Ungemuachia kuku wake hapo na mchele akitaka apike asipotaka aache, huyo unamlea mwenyewe.
Umeoa mwanamke mpumbavu sana ila nawewe unachangia pakubwa kuboresha upumbavu wake.
Ni wajibu wako kumnunulia. We si ndo mme wake!?Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya.
Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya abaya ili uwaoneshe majirani kwa ajili ya siku moja tu?
Nikamwambia embu utavaa siku nyingine hii siku ni moja tu acha ipite.,,naona ndio kanuna..isitoshe unamaabaya karibia manne humu ndani acha leo mtoto avae wewe utavaa siku nyingine...lakini pia ushakuwa mtu mzimaa pressure ya nguo ya sikuu kuu unaitoa wapi au unataka tutibuane saizi.
Ikumbukwe leo tumeamka chalii wetu anajiskia vibaya mno...nikamchukua yeye na mtoto hao kwenye boda tukaelekea hospital...pale imekata vipimo,dawa...usafiri kama 50000 hivi.
Wakuu nimempotezea huyu kiumbe ...nimeenda africana nikanunua jogoo nikapika mwenyewe na pilau...nimeona bado kanuna hadi saivi..nimesaidiana na wana tumetoa kitu maisha yameendelea nasubiria usiku sijui atanipa...haya bhana kataa ndoa wanazidi kupata point tatu muhimu.
Vijana wanajisahau sana, hela ya kuku atafute yeye, gharama za matibabu ya mtoto atoe yeye alafu bado aje apike mwenyewe na mke yupo na ni mzima, ningemfua.Punguza hasira Sheikh🤣🤣
Angejua hela ilivo ngumu kutafutwa aiseeVijana wanajisahau sana, hela ya kuku atafute yeye, gharama za matibabu ya mtoto atoe yeye alafu bado aje apike mwenyewe na mke yupo na ni mzima, ningemfua.
Hawajui ugumu wa pesa ndio maana wanachukulia poa.Angejua hela ilivo ngumu kutafutwa aisee