Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

Ila mambo mengine yanachekesha sana bila shaka mkeo ni mswahili, pole sana
 
Hapo sentensi ya mwisho. Asipokupa utafanyaje? Na najua hakupi maana ile kitu inatokana na hisia.Sasa kama umemtibua hisia anazitoa wapi? Kwanza ataona una mchepuko ndo maana humjali. Jipange kujibu mashambulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…