Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hivi zinagawiwa kwa Utaratibu upi?View attachment 3375357
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.
Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Msajili wa Vyama yupo kimya na hasemi kitu.View attachment 3375357
Hizi baiskeli zimetoka wapi, na kwanini zigawiwe kwenye kuelekea uchuguzi tu ?
Vipi zilikuwa kwenye bajeti ya nchi ?
Hizi siasa tunazotaka kuzifanya sio kabisa na zinatia aibu sana kwa majirani na dunia, sasa mtu kama huyu anayekupa sijui baiskeli sijui kanga hana akili timamu na hawezi kuwa kiongozi bora kamwe anachafua taswira ya nchi.
Kama angekuwa anania ya kuwasaidia baiskeli angewasaidieni kitambo kabla ya uchaguzi, huu ni ulaghai na rushwa watanzania tupinge siasa za namna hii zisizo na tija kwa nguvu zote.
Unatamani baiskeli alafu mwenzio ananunua magari ya kifahari na majumba, huku huduma za afya na za kijamii ni haba na umaskini umewajaa, tunataka mabadiliko ili huduma na gharama za maisha zishuke mimi nakwambia utapata kupumua utaweza hata kununua gari lako kuliko hiki kibaiskeli.Hivi zinagawiwa kwa Utaratibu upi?
Nauliza anapewa kila mwananchi au selected few ?Unatamani baiskeli alafu mwenzio ananunua magari ya kifahari na majumba, huku huduma za afya na za kijamii ni haba na umaskini umewajaa, tunataka mabadiliko ili huduma na gharama za maisha zishuke mimi nakwambia utapata kupumua utaweza hata kununua gari lako kuliko hiki kibaiskeli.
Mmh sio zimenunuliwa kwenye lile deni letu....Zimetoka kwa wajomba zake aliowauzia Ngorongoro, bahari, bandari (dp world) na madini.