Ok hizo za hapo juu pesa ngapi?.Kenwood heavy duty sio mbaya sana mkuu inasogeza siku.
mzigo wa namna iyo Kenwood og ni around 700k...kwenda juu.
120k to 150k.Ok hizo za hapo juu pesa ngapi?.
mamlaka zimeacha mataka ku flood masoko. ujinga sana hiyo nchiBongo almost kila kitu ni fake
mamlaka zimeacha mataka ku flood masoko. ujinga sana hiyo nchi
huko ndio jalalani sitaki kupasikia.dah kwa kweli eneo kama Karioakoo Halifai kabisa
Phillips siku hizi wanatengeneza vifaa vya mahospitali tu. Vifaa vingine ni makampuni yanatumia jina lakeKama uko serious na maisha usinunue hizo,labda kama ni kwa dharula.
Hizo ndio zile zenye undugu na pasi za philips zinazokunja waya na kichafuka hovyo za elfu 25.
Mamlaka Zipo Usingizini Zinakoroma Na Kujamb* Fo~Fo~Fomamlaka zimeacha mataka ku flood masoko. ujinga sana hiyo nchi