Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

Hizi blender za Kenwood ambazo zimezagaa mtaani ni Original kweli?

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je zinadumu kama tuijuavyo Kenwood? Make nimesikia mtu anasema Zina shida ya kuvuja lile jagi lake

IMG-20240318-WA0027.jpg
 
Mchina hazalishi kitu fake hata siku moja.

Ila anazalisha bidhaa zenye ubora kulingana na soko husika.

Bidhaa inaweza ikawa ni moja na inatengenezwa na kiwanda kimoja ila kwakua masoko yake ni tofauti lets say Tanzania na Turkiye basi ubora wa bidhaa hizo kwa namna yoyote lazima uwe tofauti.

Ukitaka kuamini hilo nenda kachukue bidhaa za kichina from the factory na utakutana nazo za sampuli nyingi.
 
Kuna jamaa wanajiita Kelaf niliwaona exhibition pale kariakoo Wana Brenda zao inasaga mpaka mahindi wanauza 150,000. Sijui walizozitumia labda walete mrejesho.
 
Back
Top Bottom