Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Mbona unakatiza mautamu ndugu?Huyo wa ufufuo na Uzima kwangu ni mchukuliavyo ni kama pale Wanafunzi wa Bwana Yesu walipoenda kumshitakia kuwa wako watu huko ambao wanatumia Jina la Yesu. Yesu akawajibu akawambia.....
...
Pepo mchafu tokaaaaa!Shetani na mawsaala wake hawawezi kufanya hivyo.
Shehullohi kuja hapa uone shetani alivyo mshenzi
Shehullohi kuja hapa uone shetani alivyo mshenzi
Pepo mchafu tokaaaaa!
Hawa wakipewa nafasi nyingine wanachanja chap chap!Shetani ni mshenzi kwelikweli maana kakujaza ujinga kuwa viongozi tena wakubwa hawafi na hata wakifa hawafi kwa staili hii ya hawa ya jinsi umauti wao ulivyo wafikia. Na shetani ni mshenzi kweli kweli kakuvuruga na umekubali kuvurugikiwa haswa. Shetani kawatia hofu kuu na mmekuwa watu wa ndimi mbili mbili mbele ya kamera.
Shetani ameshindwa,tunachanja kuutukuza ukuu Wa Mungu kupitia mwanadamu!Tena kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareti toka shetani na hila yako hii ya typo.
Hawa wakipewa nafasi nyingine wanachanja chap chap!
Kaiseme kauli hii Tegeta.Shetani ameshindwa,tunachanja kuutukuza ukuu Wa Mungu kupitia mwanadamu!
Mungu hataki watu wake waangamie kwa kukosa maarifa!
Aisee,waliokata tamaa ya maisha ndio huwa wanaongea hivyo!Ujinga ni kufikiria kuwa hapa duniani ni mwisho wa reli wa mambo yote. Duniani tunapita tu na tuwasafiri. Maisha baada ya haya ni ya umilele wote ndio maisha. Tuwekee na picha ya marehemu/hayati Mfugale. Bado wako wengi ulio wasahau.
Naisema kauli hii nikiwa Wazo hapa napata gahawa!Kaiseme kauli hii Tegeta.
Mbona unakatiza mautamu ndugu?
Aisee,waliokata tamaa ya maisha ndio huwa wanaongea hivyo!
Live your life mpaka pumzi yako ya mwisho!
Haya, kula mtu ashike lake, wewe endelea kuamini chanjo ni mpango Wa shetani na wengine acha waamini chanjo ni mpango Wa Mungu! Mwisho Wa siku kuchanja au kutokuchanja sio tiketi yako ya kuiona pepo,matendo yako duniani ndiyo yatakayokufanya uione pepo!Nimemalizana na wewe!Kukata tamaa ya maisha, upotoshaji wa shetani huu wa wazi na watu wameukumbatia.
... we have so many religions and what brings us together, as a nation, is the SCIENCE you hate so much!Ni kweli kabisa mtoa mada, Mungu huwa hashindwi jambo.
Inashangaza sana pale Kiongozi mkubwa kabisa anapokuwa amepata cheo kabla ya kuanza kutumikia cheo hicho anaapa kwa kushika Kitabu kitakatifu, na anamalizia kiapo chake kwa kusema"MUNGU NISAIDIE" sasa unapofika wakati wa kumtumainia Mungu katika jambo fulani, unakuta kiongozi huyo huyo badala ya kumhusisha Mungu, unakuta anampa kisogo Mungu na kuambatana na kile kinachoitwa Sayansi. Ni aibu.
... and, allas!, with no physical injuries to CURE!Brain damaged
Haya,kula mtu ashike lake,wewe endelea kuamini chanjo ni mpango Wa shetani na wengine acha waamini chanjo ni mpango Wa Mungu!
Mwisho Wa siku kuchanja au kutokuchanja sio tiketi yako ya kuiona pepo,matendo yako duniani ndiyo yatakayokufanya uione pepo!Nimemalizana na wewe!
Mungu kakupa akili ya kutumia na hekima ya kumwabudu.Mabeberu wanakereka sana kuona Tanzania hatukutumia wanazoziita "njia za kisayansi" kupambana na corona!! Badala yake Rais wetu wa wakati huo aliitisha maombi ya kufunga ya siku 3 Kitaifa. Mwitikio wa watanzania kwa maombi hayo ulikuwa mkubwa sana. Mabeberu wameshuhudia kuwa Tanzania tuko salama kuliko mataifa yote mengine yaliyojikita kwenye lockdown, chanjo, nk. Walitabiri tutaokota miili barabarani haikuwa hivyo!! Wametushuhudia tukijazana kwenye viwanja vya mpira bila barakoa, tulijazana kumuaga JPM bila barakoa!! Wamesubiri tuugue kwa wingi wamekata tamaa!! Kinachotafutwa sasa ni kufuta rekodi sahihi kuwa ni Mungu aliyetuponya!! Viongozi wetu wanashinikizwa kutoa data za corona na kusema kweli wamelazimika hata kupika takwimu ili tu kuwafurahisha mabeberu ili waachie mkopo wa corona!! Mbaya zaidi mabeberu wanashinikiza watu wachanjwe!! Lengo ni kuwa mbele ya safari waje kusema kilichowaokoa ni chanjo na siyo Mungu!!
Lakini jibu liko wazi, kama chanjo hazikufanikiwa kuwaokoa wao zingetuokoaje sisi?? Mabeberu wamechanjana chanjo moja haikutosha, wakachanjana ya pili bado haikutosha wanaendelea kuambukizwa na kuambukiza na kuugua na kufa wengine. Hivi sasa wanapanga kuchanja ya 3!! Kisha wachanjane booster mara kwa mara!! Kila siku marekani wanakufa zaidi ya 1000 kwa corona!! Kwetu hata hiyo chanjo moja haiwezekani kuenea kwa watu wote, itatuokoaje? Hizo chanjo millioni 1 imeshindikana kuisha hadi data za kupika zinaelekea kutumika!!
Watanzania tusifanye kosa la kumpokonya Mungu utukufu kwa kushawishiwa na wapagani wa kizungu kuchanja!! Hatuchanji ng'o!! Mungu alishatuponya na REKODI itabaki hivyo!! Mwisho wa siku tutyaona ni Mungu yupi anaokoa! mungu chanjo au Mungu YEHOVA muumba wa mbingu na nchi.