#COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

Hujui kilichotokea Seychelles iliyokuwa inaongoza kwa kuchanjwa watu wake?
Labda Kama una hoja nyingine leta.
Chanjo za corona zina UBORA,USALAMA na UFANISI tofauti kulingana na kampuni iliyotengeneza.
Oxford - AstraZeneca,Pfizer-BioNTech,Sputnik V,Moderna,Sinopharm-BBIBP,Johnson & Johnson,CoronaVac,Covaxin,Convidecia,Sputnik Light,Sinopharm-WIBP,EpiVacCorona,RBD-Dimer,CoviVac,QazCovid

“You really need to use high-efficacy vaccines to get that economic benefit because otherwise they’re going to be living with the disease long term,” said Raina MacIntyre, who heads the biosecurity program at the Kirby Institute of the University of New South Wales in Sydney, Australia. “The choice of vaccine matters.”

●Seychelles has seen a surge in coronavirus cases even though much of its population was inoculated with China’s Sinopharm vaccine.

●Chanjo ya PFIZER imepunguza sana mzigo wa UVIKO Uingereza.

Science has proved Boris Johnson wrong – vaccines are reducing deaths and cases

Science has proved Boris Johnson wrong – vaccines are reducing deaths and cases - Health - operanewsapp
opr.news
Utafiti uliohusisha watu 170,000 baada ya kupata chanjo umeonyesha idadi ya wagonjwa kupungua kwa asilimia 75 kwa watu wenye umri kati ya miaka 80 hadi 83 ndani ya siku 35 hadi 41 baada ya kupata dozi ya kwanza.
Kasi ya maambukizi imepungua kwa asilimia 70. Idadi ya waathirika imeshuka kutoka asilimia 15.3 hadi 4.6 kwa watu 100,000 waliopimwa.

CHANZO
telegraph.co.uk April 14 2021
11:27 PM
 
Unatuletea kijarida Cha mabeberu Cha kuipondoea China?
Nani atakiamini hiki?vipi kule India wanatumia ya China eeh?
 
Acha propaganda....tuonyeshe huo utafiti unaoonyesha raia wa Tz walipata hiyo herd immunity.

Tutaendelea kuunga mkono juhudi za serikali kukabiliana na Uviko-19 hizi propaganda zenu wahafidhina hazitatuyumbisha.

Unahitaji utafiti kwa suala ambalo hata ukitumia akili ya kawaida(common sense) unapata hitimisho!
 
How? au unahisi tu

Hujui kama aliyepata chanjo haimzuii kupata korona.

Hujui kuwa aliyepata chanjo akipata korona anaweza kuambukiza wengine hata waliopata tena chanjo.

Huu mnyororo wa maambukizo ndio unazaa korona kali inayoitwa VARIANTS.
 
Lisu alisema hawatahangaika kumtoa Mbowe, polisi wakitaka wakae nae na wamfanye watakalo!

Bawacha Leo wameandamana ubalozi wa USA kushinikiza Mbowe kuachiwa huru, ina maana wamempuuza Lisu?
Sasa hilo mkuu lina uhusiano gani na chanjo ya corona!!
 
Sumu inawezaje kuokoa maisha wewe ngumbaru?

Ukishadungwa hayo machanjo yenye sumu yanaenda kuua kinga asili ya mwili.

Mwisho wake ni kufwaa tu au kuwa zombi.
Hapo ulipo umedungwa chanjo kibao. Wanao,kama unao,kabla ya kufikisha miaka 5 wameshadungwa zaidi ya chanjo 7 mbona hamjakufa. Nyinyi ni masadist na wauzaji tu! Hamna lolote la maana mmalojua. Vichaa vyenu vimejaa makamasi badala ya ubongo.

Kuchanjwa ni hiari. Waacheni wanaotaka kuchanjwa waendelee kupata chanjo. Nyinyi msiotaka acheni kupotosha umma. TULIENI.
 
Huyo jpm leo yuko wapi?

Waacheni wenye taaluma za afya watuvushe kwenye janga hili. Hatutaki hayo maujinga yenu.
 

Ninakubaliana na hoja yako.

Hii pia inaitwa business investment!

Kila mwaka serikali itakuwa inatakiwa kutenga bajeti kwa ajili ya kununulia chanjo za korona.

Makampuni yanasema kwa sasa yanatupa chanjo bure yatakuja kufaidika huko mbele kwa kuuza kinachoitwa “covid booster vaccine”.

Ni sawa na kampuni inakuuzia gari kwa mbei ndogo halafu inakuja kukuuzia spare zake kwa bei kubwa!
 
Hao wazungu wanaochanjwa kuzuia mafua ( flu jab) sio wote wanaochanjwa. Wanaochanjwa ni wazee ukiwa mzee kinga zako za mwili zinakuwa sio strong Na wenye matatizo ya ki afya ambao kinga za mwili zao hazipo imara. Na sio wazungu peke yao wanaochanjwa hata watu weusi, wahindi wanachanjwa inategemea na afya yako. Wenzetu suala la afya wanalichukulia serious
 
Hiyo umeitoa wapi?!.. Aisee, nadhani hamna nchi Duniani ambayo kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu kama Tanzania!
Unabisha nini we ng'ombe???

Machanjo yanaenda kuharibu kinga asili ya mwili. Huo ndio ukweli.

Mungu alituumba akatuwekea kinga asili za mwili ambazo zinajitosheleza.

Kitendo cha kudunga watu machanjo ya hovyo hovyo kinaweza kuzi corrupt Kinga asili za mwili na kusababisha autoimmune disease!

BISHA, ewe dokta uchwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…