macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Du. Kweli awamu ya tano ilitutengenezea ''wataalam''.Dokta uchwara huna hoja, umebaki na viroja,
Sayansi zako kanjanja, zimejaa janja janja,
Watu wote kwa pamoja, wamesusa zako hoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia wewe dokta uchwara uelimishwe!Kuna Makopo mengi sana humu JF siku hizi..
Sasa kama kuna kinga za asili kwanini watu wanapewa Vitamins za viwandani ili wanywe?! Hao nazo ni sumu za Wazungu za kuwaua nyie Makapuku!
Na huo mwili wako hauna kinga za kudungwa hospitali utotoni?!
Ebu jadili na wengine huko...
Wewe ni mpotoshaji na siku zote wapotoshaji wanachukua kipande cha taarifa ndiyo wanakitumia kuhadaa watu.Yaani unategemea upewe misaada ya chanjo ya korona halafu unasema ''it's important to get as many people as possible vaccinated''. Are you kidding me?
Kumbuka Tanzania ina watu milioni 36 wanaohitaji kupata chanjo ya korona wakati msaada wa chanjo ya korona tuliopata mpaka sasa ni kwa watu milioni 1.
Karibu sana!Noma na nusu
Na hapa wanazitoa bure kwa sababu zipo kwenye majaribio na kimsingi wao ndo walitakiwa kuwalipa wanaoshiriki kwenye majaribio ya chanjo. Watakapopata ile final approval ya WHO hapo ndo biashara ya chanjo itakapoanza.......hakutakuwa na cha bure tena na kuchanja itakuwa kwa lazima, utake usitake ndo maana wengine wanaifananisha na namba ya mnyama iliyotajwa kwenye kitabu cha ufunuo.....Ninakubaliana na hoja yako.
Hii pia inaitwa business investment!
Kila mwaka serikali itakuwa inatakiwa kutenga bajeti kwa ajili ya kununulia chanjo za korona.
Makampuni yanasema kwa sasa yanatupa chanjo bure yatakuja kufaidika huko mbele kwa kuuza kinachoitwa “covid booster vaccine”.
Ni sawa na kampuni inakuuzia gari kwa mbei ndogo halafu inakuja kukuuzia spare zake kwa bei kubwa!
Ndivyo ''wenye'' dunia wanataka!Nimeishiwa pozi kaka MsemajiUkweli 😤
Mwenyezi Mungu atunusuru waja wake hatuna hatia yoyote.Ni mabaradhuli wachache tu kwa tamaa zao na kama kuna lolote litawarudia wenyewe😡
Kabla ya kupeleka mabega ili kudungwa chanjo kuna wananchi wanakuwa wameishapoteza maisha kwa sababu kila VARIANTS inakuwa ni korona kali sana!
Hilo la kutumwa ni fikra zako ambazo hazikupi ukweli!NAONA UMETUMWA UJE KUTUKAMATIA HAPA..!😁
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga isiyo ya moja kwa moja (indirect immunity) dhidi ya ugonjwa inayotokea pale ambapo asilimia kubwa ya watu wana kinga dhidi ya ugonjwa husika iwe kwa njia ya maambukizo ya awali (kuugua kisha mwili ukatengeneza kinga).
Watanzania wengi sana kwa sasa korona kwao imekuwa ni kama ugonjwa wa mafua tu au uchovu kwa sababu miili yao imeishatengeneza kinga ya asili kutokana na kinga kundi(herd immunity). Wengi wanapoipata korona kwa sasa nchini wanapoteza uwezo wa kunusa na pia wanakosa hamu ya chakula na wanaharisha kidogo halafu baada ya siku kadhaa wanapona. Hii hali naamini inaenda kubadilika baada ya chanjo kuanza kutolewa nchini.
Kwa wasiojua ni kuwa kupata chanjo hakumzuii mtu aliyepata chanjo kupata korona lakini madhara yake ni kuwa, huyo aliyechanjwa halafu akapata korona, akimuambikiza mtu asiyechanjwa inakuwa ni korona hatari sana kwa aliyeambukizwa. Hii korona haikuchukui hata siku tatu unaondoka duniani kama hujawahi kupata matibabu haraka. Kibaya zaidi, hii korona inakula kidogo kidogo na inapofikia kwenye hatua za mwisho ndipo mtu unagundua pale unapokosa nguvu kwa ghafla.
Nchi nyingi za Afrika ambazo zilianza kutoa chanjo kwa wananchi wake zilijikuta ikiibuka korona nyingine kali iliyoshika kasi na watu kuanza kupoteza maisha ndio maana nchi hizo ziliamua kurudi tena kwenye lockdown.
Wachunguzi wanasema chimbuko la inayoitwa kwa kiingereza VARIANTS ni matokeo ya chanjo. Hata variants zinaibuka kutokana na aina ya chanjo zinazotolewa kwa watu wa eneo hilo. Mfano Saouth Afrika iliibuka variants inayoitwa BETA baada ya wananchi kuanza kupatiwa chanjo ya Johnson and Johnson vaccine. Mpaka leo Afrika Kusini wako katika hali tete.
Kuna watu ninajua watakuja na hoja wakisema, basi ni bora tupate chanjo wote ili variants isitokee. Watakaouliza maswali haya lazima wajue kuwa hizi chanjo zinazokuja kwa nchi zetu hizi za Afrika niza wanasiasa, maofisa waandamizi wa juu serikalini, wafanyakazi wa afya, matajiri na familia zao. Kama hauko kwenye kundi hili utasubiri kupata chanjo kwa muda mrefu sana wakati VARIANT ikifanya kazi zake nchini.
Kwa mfano, Kenya pamoja na kelele zao za kujikinga na korona toka waanze kutoa chanjo wametoa kwa asilimia 1.5 ya wananchi wake wote. Ukichunguza kundi lililopata hizo chanjo ndilo nililolitaja hapo juu!
Watanzania tuko karibia milioni 60 kwa sasa ambapo Sensa ya Watu na Makazi ilisema idadi ya watu nchini ambao wako katika kundi la kufanya kazi ni 53% na pia kundi la wazee ni 6%. Hii inatuambia kuwa watu wanaotakiwa kuchanjwa nchini ni kama 60% ya watanzania kwa sababu watoto hawachanjwi.
Kwa hesabu ya kawaida pale juu, idadi ya Watanzania wanapaswa kupata chanjo ni milioni 36. Batch ya kwanza ya Johnson and Johnson vaccine iliyoingia nchini ni dozi milioni 1 kwa watu milioni 1
Population ya Dar es Salaam pekee ni watu karibia milioni 6 ambapo asilimia 60 ya wanaohitaji chanjo ni watu milioni 3 na laki 6. Hapo hujagusa mikoa
Kwa akili yako ''kisoda'' kila anayejenga hoja ambazo ni kinyume na wanaotetea chanjo ni pro-Magufuli!Umeandika hisia zako binafsi, ambapo si kila mmoja lazima afikie hitimisho ulilofikia.
Nyie pro - Magufuli mnaopinga chanjo mntapatapa tu.
Wewe ndio akili 'kisoda' unaandika maelezo usiyoweza kuthibitisha kisayansi zaidi ya porojo tu.Kwa akili yako ''kisoda'' kila anayejenga hoja ambazo ni kinyume na wanaotetea chanjo ni pro-Magufuli!
Kwa hiyo duniani kote wanajenga hoja ambazo ni kinyume na wanaotetea chanjo ni pro-Magufuli! Ama kweli ujinga wako ni kipaji cha kijinga!
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga isiyo ya moja kwa moja (indirect immunity) dhidi ya
Yaani unaandika utumbo mpana mtupu na unatujazia samadi tu hapa! Nakuuliza tena, chanjo zako za utotoni walikuchanja babu zako za kienyeji au hizo hizo za Kizungu?!Tulia wewe dokta uchwara uelimishwe!
Wengi wenu hata huo udokta mlipewa kimagumashi tu kwa kuvuliwa chupi na kuinamishwa maofisini.
Ndio maana hamuwezi kutengeneza japo kidonge cha panado, mmebaki kushadadia machanjo ya wazungu.
Kumbe wewe ndio walewale wa awamu 5 walikuwa bado kidogo muwe madaktari wa binadamu toka kwenye uganga wa jadi na nyungu zenu thidi ya CoronaWewe unayetumia ''taaluma yako'' umetatua changamoto zote na kufanikiwa au ndio wale wale?
mtalaam huyu hapa.mie sijamwelewa kwa kweliWewe unayo hiyo taaluma ya afya au na wewe ukishakuwa na bundle, smartphone na vidole umeshajua kuuliza maswali ya kijinga!
Nikuelewa Mkuu!Zote sawa mkuu iwe herd au syringe.
Mara baada ya kusoma na kuona hujui Maana ya Herd Immunity nikaacha kusoma uharo wakoNinachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga isiyo ya moja kwa moja (indirect immunity) dhidi ya
Wewe ni wa kupuuzwa sawa na Gwajima! Usituambukize ujinga wako!Mimi ni nimefuzu darasa la saba! Sikupata nafasi ya kuendelea zaidi!
Nyie ndiyo mlimdanganya dikteta Magufuli kuwa papai lina corona!Kwa akili yako ''kisoda'' kila anayejenga hoja ambazo ni kinyume na wanaotetea chanjo ni pro-Magufuli!
Kwa hiyo duniani kote wanajenga hoja ambazo ni kinyume na wanaotetea chanjo ni pro-Magufuli! Ama kweli ujinga wako ni kipaji cha kijinga!