Ramson Matata
Member
- Jul 2, 2013
- 11
- 0
Hivi wewe na mkemia nani anayejua sayansi??hizo dawa za vyuo zote zimepita kwake ..unataka sayansi gani??unajua procedure za kupima japo dawa moja tu inavyofanyika au kasuku tu...kubali watu walijitoa kwa ajili ya kusaidia jamii na watu wamenufaika na hizo products punguza wivu wa balehOmbi langu ni moja tu! Hawa wanaouza madawa kama haya wajiheshimu. Wanatumia umaarufu wa vyuo vikuu kutapeli wananchi na kuonesha ujinga wao. Na wanasiasa kwa kutaka huruma ya wananchi kwamba kuna jambo la maana linafanyika, wanaunga mkono utapeli huu. Hii ni kulisha watu uchafu.
Na inavyoonekana, tumekuwa wazoefu tangu mzee wa Loliondo.