#COVID19 Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

#COVID19 Hizi dawa za COVID-19 ni siasa au tuna malengo gani? SUA hiki kitu gani?

Wabongo bwana mmeshazoea vya kuletewa, mtaletewa hata mavirus muyaite vaccines, hata hizo vaccines za ulaya hazina accuracy 100% ndio mana na wao wanapukutika kama kawaida. Tafiti nyingi zilifanikiwa kwa majaribio je Kuna ulazima gani wa kuwakatisha tamaa wataalam wetu!
 
Hiyo NIMRCAF sisi wengine tunaitumia kutenderize steak kabla ya kubarbecue...inafanya nyama iwe laiiiini
 
Wabongo bwana mmeshazoea vya kuletewa, mtaletewa hata mavirus muyaite vaccines, hata hizo vaccines za ulaya hazina accuracy 100% ndio mana na wao wanapukutika kama kawaida. Tafiti nyingi zilifanikiwa kwa majaribio je Kuna ulazima gani wa kuwakatisha tamaa wataalam wetu!
Ile mashine yenu ya kijifukiza bado inafanya kazi?
 
Tuliotumia hiyo dawa tukapona tunakushangaa. Kuna mambo mawili, maana yenyewe ipo kwenye kopo la brown, labda umepata feki.
Au labda uliifungua muda mrefu hukuitunza Kwa usafi.
Kwa hiyo dawa, labda useme lingine
 
Utapeli mtupu kupitia migongo ya wajinga
 
Kwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua dalili hizo. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita?

Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo kikuu? Na hapa ni baada ya kupigwa kichupa kingine cha chuo kikuu cha Dar ambacho chenyewe kinanukia mchai-chai. Sijui Muhimbili wana mizizi gani! Mutatuua!

Iyo bobo Iko kama ya sumu yakupulizia wadudu
 
mtu mweusi ni janga la dunia, hapa ungetumia za mzungu na zikakupa madhara usingebeza wala kujudge.
 
Walikuwa wanaenda na Dira ya Serikali ya awamu ya tano, elimu zetu zimeshamezwa na wanasiasa ndio maana Magufuli aliweza kutoa kauli zenye utata katika vita dhidi ya kovidi na wataalamu waliobobea katika maeneo hayo walikuwa wanaunga mkono na kumpigia makofi bila kuchallenge hata kidogo msimamo wake !View attachment 1845950
Tulizoea kuona matone ya macho, hapa CHUO KIKUU kikaleta matone ya koo! Dah! Ningekuwa na uwezo watu kama hawa wote wangezuiliwa kufundisha vijana wetu. Hwa ni waharibifu kabisa. Bora waanzishe makanisa
 
mtu mweusi ni janga la dunia, hapa ungetumia za mzungu na zikakupa madhara usingebeza wala kujudge.
Ninayo hisia moja tu, kwamba ukinipa dawa inayoonesha umahili wako lazima nikupe hongera. Lakini ukinipa majani na mizizi ya kuchemsha na mchanganyiko wa kachumbali kama mimi ninavyoweza kuchemsha, hapo unajitukanisha kichwa chako.
 
Sawa lakini unafikiri kwa usomi wako wewe hapa Tz upate dawa upeleke WHO wakupitishie? Sahau kabisa. Yakwetu itakuwa "for our internal use". Alafu za mabosi wao wazungu zitanunuliwa na nani? We in Africa are the market for their vaccines and medicines
Hapa mkuu unazungumzia dawa gani.. Panadol yenyewe inatushinda halafu iwe dawa ya Corona...!? Unless Wanazungumzia muarobaini.....!!
 
Sawa lakini unafikiri kwa usomi wako wewe hapa Tz upate dawa upeleke WHO wakupitishie? Sahau kabisa. Yakwetu itakuwa "for our internal use". Alafu za mabosi wao wazungu zitanunuliwa na nani? We in Africa are the market for their vaccines and medicines
Ombi langu ni moja tu! Hawa wanaouza madawa kama haya wajiheshimu. Wanatumia umaarufu wa vyuo vikuu kutapeli wananchi na kuonesha ujinga wao. Na wanasiasa kwa kutaka huruma ya wananchi kwamba kuna jambo la maana linafanyika, wanaunga mkono utapeli huu. Hii ni kulisha watu uchafu.

Na inavyoonekana, tumekuwa wazoefu tangu mzee wa Loliondo.
 
Wewe ndiye mjinga kwa kuziamini dawa zinazofanana na ndumba badala ya kuamini katika sayansi.
 
Bosi na wewe una kipaji cha ujinga! Unategemea nchi hii upate mwanasayansi wa kukupa dawa ya Corona? Hawa wapayukaji ndo wajue sayansi?
Hata uandishi wake unaonyesha kuwa, kweli anakipaji Cha ujinga!
 
Wewe ndiye mjinga kwa kuziamini dawa zinazofanana na ndumba badala ya kuamini katika sayansi.
Huo unaoita utapeli ndio umesaidia kuponya wengi kwa ushahidi kabisa...sasa wewe unaowakosoa wasomi waliotumia sayansi kupima mimea yenye kusaidia matatizo ya kupumua una msaada gani kwa jamii...matusi haya huwatukani Mlimani,Sua bali unatukana mpk mamlaka ya mkemia mkuu wa serikali.
 
Back
Top Bottom