Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
ile ndio funga kazi, nasikia wiki hii imeanza tena kufuka moshi, wateja watakuwa wameanza kupatikana🤣Umesahau 'SAUNA' ya mama Gwajima pale Muhimbili!
View attachment 1845995
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile ndio funga kazi, nasikia wiki hii imeanza tena kufuka moshi, wateja watakuwa wameanza kupatikana🤣Umesahau 'SAUNA' ya mama Gwajima pale Muhimbili!
View attachment 1845995
Piga nyungu usishangae ! 🤸🤣Kheeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna wataalamu hapa nchini kuna wasaka fursa pekeeBosi na wewe una kipaji cha ujinga! Unategemea nchi hii upate mwanasayansi wa kukupa dawa ya Corona? Hawa wapayukaji ndo wajue sayansi?
Ile mashine yenu ya kijifukiza bado inafanya kazi?Wabongo bwana mmeshazoea vya kuletewa, mtaletewa hata mavirus muyaite vaccines, hata hizo vaccines za ulaya hazina accuracy 100% ndio mana na wao wanapukutika kama kawaida. Tafiti nyingi zilifanikiwa kwa majaribio je Kuna ulazima gani wa kuwakatisha tamaa wataalam wetu!
Iyo bobo Iko kama ya sumu yakupulizia waduduKwa wasiwasi wangu, koo lilipokwaruza tu, nikajua dalili hizo. Hapa nilipo niko hoi kwa kuharisha usiku kucha. Ni uchafu gani tunauziwa na taasisi za serikali? Watu wa SUA bado munacheza na afya zetu kama enzi iliyopita?
Ni kweli hiki ndo kiwango cha utaalamu wa chuo kikuu? Na hapa ni baada ya kupigwa kichupa kingine cha chuo kikuu cha Dar ambacho chenyewe kinanukia mchai-chai. Sijui Muhimbili wana mizizi gani! Mutatuua!
“Kufuka moshi”ile ndio funga kazi, nasikia wiki hii imeanza tena kufuka moshi, wateja watakuwa wameanza kupatikana🤣
Tulizoea kuona matone ya macho, hapa CHUO KIKUU kikaleta matone ya koo! Dah! Ningekuwa na uwezo watu kama hawa wote wangezuiliwa kufundisha vijana wetu. Hwa ni waharibifu kabisa. Bora waanzishe makanisaWalikuwa wanaenda na Dira ya Serikali ya awamu ya tano, elimu zetu zimeshamezwa na wanasiasa ndio maana Magufuli aliweza kutoa kauli zenye utata katika vita dhidi ya kovidi na wataalamu waliobobea katika maeneo hayo walikuwa wanaunga mkono na kumpigia makofi bila kuchallenge hata kidogo msimamo wake !View attachment 1845950
Ninayo hisia moja tu, kwamba ukinipa dawa inayoonesha umahili wako lazima nikupe hongera. Lakini ukinipa majani na mizizi ya kuchemsha na mchanganyiko wa kachumbali kama mimi ninavyoweza kuchemsha, hapo unajitukanisha kichwa chako.mtu mweusi ni janga la dunia, hapa ungetumia za mzungu na zikakupa madhara usingebeza wala kujudge.
Hapa mkuu unazungumzia dawa gani.. Panadol yenyewe inatushinda halafu iwe dawa ya Corona...!? Unless Wanazungumzia muarobaini.....!!Sawa lakini unafikiri kwa usomi wako wewe hapa Tz upate dawa upeleke WHO wakupitishie? Sahau kabisa. Yakwetu itakuwa "for our internal use". Alafu za mabosi wao wazungu zitanunuliwa na nani? We in Africa are the market for their vaccines and medicines
Kwa ni serikali ina ruhusu huu Utapeli...!?
Ombi langu ni moja tu! Hawa wanaouza madawa kama haya wajiheshimu. Wanatumia umaarufu wa vyuo vikuu kutapeli wananchi na kuonesha ujinga wao. Na wanasiasa kwa kutaka huruma ya wananchi kwamba kuna jambo la maana linafanyika, wanaunga mkono utapeli huu. Hii ni kulisha watu uchafu.Sawa lakini unafikiri kwa usomi wako wewe hapa Tz upate dawa upeleke WHO wakupitishie? Sahau kabisa. Yakwetu itakuwa "for our internal use". Alafu za mabosi wao wazungu zitanunuliwa na nani? We in Africa are the market for their vaccines and medicines
Hata uandishi wake unaonyesha kuwa, kweli anakipaji Cha ujinga!Bosi na wewe una kipaji cha ujinga! Unategemea nchi hii upate mwanasayansi wa kukupa dawa ya Corona? Hawa wapayukaji ndo wajue sayansi?
Huo unaoita utapeli ndio umesaidia kuponya wengi kwa ushahidi kabisa...sasa wewe unaowakosoa wasomi waliotumia sayansi kupima mimea yenye kusaidia matatizo ya kupumua una msaada gani kwa jamii...matusi haya huwatukani Mlimani,Sua bali unatukana mpk mamlaka ya mkemia mkuu wa serikali.Wewe ndiye mjinga kwa kuziamini dawa zinazofanana na ndumba badala ya kuamini katika sayansi.