Hizi dawa za kuongeza uanaume zinapatikana wapi hapa Tanzania?

Jamani siyo nguvu za kiume tu ila mbadala wa korodani. je unafahamu kazi za korodani??
 
jina tunaomba la hicho kidonge.
 
Hebu naomba maelezo kidogo kuhusu hiki kidonge nifanye kutumia wakati nasubilia vilainishi (gel)..

Je ndicho kinaitwa hivi

"Divine Nutrition Triplex Fish Oil"​

Attachments

  • download (4).jpg
    8.1 KB · Views: 11
Kwa Nini usiende hosp? Au hosp wamekuambia wameshindwa.kwa Nini mnakimbilia tu dawa? Wafanye tests nyingine.kwasababu hata prolactin ikizidi Kwa mwanaume anakua na symptoms kama ulizosema.Jamni msitumie tu madawa bila kujua dose gani inahitajika,mtakufaa
 
Laiti ungesoma habari kuanzia mwanzo ungeelewa kwamba ata huko hospital nilipita ila nikapewa dawa ya kuchoma sindano.....sasa habari ya kuchoma sindano kila mwezi nimechoka na nipo mbali na hiyo hospital, huku nilipo hawaelewi tatizo hilo...
 
Reactions: Mit

Kweli sikusoma vizuri,nisamehe.ulienda zaidi ya hosp moja kupata ushauri tofauti? Kwasababu mara nyingi dawa hizi za mtaani zinaweza mtibu huyu akapona na huyu asipone au akaibua tatizo jingine.
 
Kweli sikusoma vizuri,nisamehe.ulienda zaidi ya hosp moja kupata ushauri tofauti? Kwasababu mara nyingi dawa hizi za mtaani zinaweza mtibu huyu akapona na huyu asipone au akaibua tatizo jingine.
Tena kubwa za kanda siyo vi-dispensary. ....
 
😂😂pepo kanitoka mtumishi. Ila kusema ukweli nimefarijika...kuanzia sasa najiamini. Brush kwa wingi.
Ngoja Katiba mpya ije tu .watu kama nyie wa dk 2 tutapendekeza muwe mnanyongwa kila mwisho wa mwezi! Mfie mbalii😖

Wapiga brush wapewe bonus kila mwezi 😀
 
Ngoja Katiba mpya ije tu .watu kama nyie wa dk 2 tutapendekeza muwe mnanyongwa kila mwisho wa mwezi! Mfie mbalii😖

Wapiga brush wapewe bonus kila mwezi 😀
Daah! Kama ni hivyo bora nirudi kwetu Ipilimo nikajifiche huko.

Au laa sivyo nijifunze brush ili nipate bonus.
 
Mkuu chukua njia ndefu ya kujenga afya kwa chakula, piga chini kama miezi miwili misosi yote yenye asili ya acid, kula matunda na majani zaidi,karanga.
Nunua seamoss ina virutubisho vingi vinavyohitajika ktk mwili.
Issue kubwa ni mwili uwe katika hali ya alkalinity na unapata virutubisho.
Matunda yenye asili ya acid piga chini, nanasi, carot...
In some weeks tu mwili unaanza kuwa na nguvu.
Fanya pia kautafiti google juu ya vyakula vya acid,kwepa.
Pia kuna vibebeo vya maji au jags huwa zinafanya maji yawe na alkali,nunua. Wife mshirikishe hilo zoezi ili usiwe katika panic mode. Ni suala la kufanyia kazi pamoja nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…